Nimeshangaa kuona hiyo quote niliyoijibu, nikashangaa na jibu nililotoa, maana haviendani kabisa, labda ingekuwa ni kweli sijui uhusika wa Mkurugenzi na mamlaka aliyo nayo.
Sijui ni nini kilitokea nikajibu hivyo, ningekuwa nakunywa ningesema labda nililewa.
Labda nilikua na type huku nikiangalia...
Sasa wewe ndiye umepotoshwa na wenzako halafu ukaenda kichwakichwa kutaka upingane na Lissu.
Wewe umetoshwa kiai kwamba ingependeza kama ungeitwa MPOTO kwa jindi ulivyo POTOKA.
Technically, Zanzibar inaweza ikaamua leo kucheza deal na Oman, Iman ikaandaa Mkataba ikijifanya ndiyo ile nchi nyingine iliyoingia Mkataba na Zanzibar kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mkataba huo ukakubalika katika UN.
Maana Tanganyika hawainekani, wala hawana Mkataba wowote ule...
Katiba ya Zanzibari ni ya Kimchongo sana. Katiba ya Zanzibar inasema zanzibar ni kati ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini hiyo nchi nyingine haipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.