Uzuri wa haya matukio raia ndo huamua ipi sukari na ipi chumvi. Kama Makonda hana impact wataamua tu.
Halafu mimi sikujua kuwa hii nchi zikiwepo camera ndani ya DK 5 unaweza pewa haki yako iliyokwama kwa miaka kadhaa. Dk 5, yaani bila camera umezunguka mahakamani, vikao na madiwani, barua kwa...
MUNGU ni suala la kiimani. Najua kuna mambo ya MUNGU sababu nimechagua kuamini hivyo.
Mawazo yakiwa yangu hayafosiwi kuwa yako. Umezungumza uongo.
Uumbaji.
Pia sioni tatizo ukiyatambua maisha kwa mfumo huu. Nina rafiki anayeamini kuwa ukijumlisha kila kitu ulimwenguni ukakiweka kwenye umbo...
Hakuna namna, kama humlipi mshahara atabaki kuwa CEO tu. Hakuna namna nyingine zaidi ya kukubali kuwa yule mama ntilie ni CEO wa mgahawa wake na mwenyekiti wa bodi ya tasisi ya kichwa chake.
Kwanini amzuie na amdhibiti? Kwani ni kazi ya MUNGU kuzuia ufisadi? Wizi? Si mambo ya binadamu hayo?
Sasa tatizo lipo wapi? Unataka kuishi milele kwa raha ndo uuone ukuu wa MUNGU? Ukuu wa MUNGU unapimwa kwa mfumo perfect kwa viumbe wote si mfumo perfect kwa mwanadamu, Kama binadamu ni sehemu ya...
Kwanini unampa hili jukumu MUNGU? Binadamu anazaliwa akiwa mwema, tunawaita malaika, anapokomaa anauchagua uovu ilihali anaweza kuuchagua wema, kwanini hii lawama apewe MUNGU?
Hivi unajua kuna viumbe ili viishi sharti ipite dhoruba? Tatizo binadamu tunataka ulimwengu uwe sehemu ya binadamu na...
Ingia befoward, Sbt japan n.k angalia gari za bajeti yako na gharama mpaka kufika bandari husika, ingia TRA car calc ingiza taarifa za gari itakupa ushuru utapata picha halfu njoo sasa uulize kuhusu gharama za ziada nje ya hizo rasmi zinazoweza kujitokeza kwa gari husika.
Jitahidi kutotafuniwa...
MUNGU kaumba dunia tupu, akumba mfumo wa kuyawezesha maisha kuwepo. Uovu ni wa binadamu.
Dunia lazima ifanye kazi kwa mfumo. Umetengeneza gari, ili litembee si ni lazima vyuma visagane?
Freewill tunayo sababu baada ya kuzaliwa nature ilitupa akili ya namna ya kukabiliana na majanga.
Baharini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.