Search results

  1. J

    Sizioni tena mbwembwe za mawaziri sijui tatizo ni nini? Awesu, Jafo, Bashe, January mko wapi?

    Projects nyingi zimegeuka white elephants au non-starter!Ukali Keisha! Uongozi si lelemama,unataka ueledi.Tumeishiwa Calibre ya statesman,nchi kugeuka kichwa cha mwenda wazimu Kila mtu kujifunzia kunyoa!
  2. J

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Waziri mkuu wa Kwanza Nyerere Des.1961 Hadi Feb.1962 alipomwachia Kawawa na kurejea Kama Rais Mtendaji Des.1962 chini ya Katiba ya Jamhuri.Alijiuzulu kwa kufarakana na Wana TANU wenzake juu ya Africanisation kwa spidi ya kutisha wakati Taifa lilikuwa halijajitosheleza ki-manpower akiliita pia...
  3. J

    China Kutumia Shilingi Trilioni 2.5 ($1Bilion) Kuijenga Upya(Upgrade) Reli ya Tazara kuwa SGR

    Akili ya kujenga,kulinda na kuendeleza nchi itatoka wapi wakati mawazo yote Ni juu ya namna ya kushinda uchaguzi,tangu uchaguzi mmoja unapomalizika Hadi uchaguzi unaofuata,kwa ghiliba na ubabe bandia wa kivyama?
  4. J

    Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Viongozi Kwanza waone aibu na wakiri na kutubu dhambi ya uongo juu ya Dubai na kusumbua umma.Mamlaka ya nchi iwatose waongo na wachumia tumbo waliopotosha imma kwa kusema wasichokiamini na kutosema wanachokiamini.Iwatose hats Kama Ni gesture tu Lakini imma ujue kuna juhudi za kujirudi.Nchi...
  5. J

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    PhD za heshima Ni kilemba cha ukoka,tuja na mchezo wa nchi za kibeberu kupumbaza jamii zisizojielewa.Utamaduni huo unakoma haraka Sana kwa nchi zilizoendelea.Hutasikia watu wanajipambanua kwa kisomo au PhD kwa kuwa hicho Ni kiatu tu cha mguu cha kutembelea.Obama Ana PhD Kali na Ni...
  6. J

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Heri ya Rais kuchagua kutembelea nchi ya kigeni na KUREJEA nyumbani na PhD ya kuheshimiwa,kuliko Kosa la awali la kutembelea nchi za wapigaji,walaghai wa kimaghumashi na KUREJEA na Mikataba ya kilaghai ya kufilisi nchi! Ni Kosa ambalo Sasa ameanza kuligundua kwa kuchelewa.Hata teuzi zake Sasa...
  7. J

    Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Kikwete na Salimu walijengeana bifu uchaguzi mkuu 2005 kambi ya Kikwete ikidai Salimu alikuwa Mwarabu akiwa na ndugu Majenerali huko Uarabuni ambao angeweza kuwatumia usalama wa Tanzania kupitia Zanzibar. Kampeni hiyo mbaya iliongozwa na RA na Mhariri mmoja wa gazeti moja la weekly hapa nchini...
Back
Top Bottom