Uongozi ni changamoto mno na mara nyingi unapotoka kwenye nafasi ndipo mambo yako mazuri ama mabaya yanaonekana na kusemwa. John Pombe Joseph Magufuli katika uongozi wake pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu alithubutu kutaka kutufikisha mahali. Nikiri kusema hakupenda kuona jambo linakwama...
ukiona mtu anajikita kutaja udini au ukabila jua kafilisika kichwani akapimwe. Hapa tujadili hoja juu ya hoja mjadala mzuri kama huu tusilete ujinga maana ni mambo yanayohusu maisha yetu tuna biashara tunafanya sasa badala ya kujadili mambo ya msingi jitu linakuja na ukabila. kama huna hoja...
mzee acha janja janja wewe toa risiti wacha wafatilie mimi sioni shida kama unatoa ngoma kama hutoi. mimi tra wafatilie tu si mara ya kwanza huwa wananifatilia kila wakija kwangu wanakuta natoa naona wameamua acha kwani wamejua hawanipati ng'o sitaki kuwapa nafasi ya adhabu mimi nikiuza tu natoa...
mimi simtetei mtu humu ila sidhani kama ni sawa kusema kabila flan maana ni ubaguzi. Ukishasema wachaga kesho utasema wasukuma kesho utasema wazanzibar, utakuja sema wahaya
Naomba nikuulize kitu ndugu , wewe ni mwenyekiti wa kamati ya harusi umeteua wanakamati mmoja wapo kachukua kadi za mchango na umejua kabisa kadi alizochukua zimepata kuchangiwa. Ila mwanakamati huyo hataki leta hiyo pesa ukizingatia budget bado inapwaya utamtizama tu huyo mwanakamati au ni...
matuta kwa sasa yamekuwa ni kero siyo nia hasa kudhibiti mwendo ni kuharibu magari tu. fikiria Morogoro pale karibu na Chuo cha kiislamu wameweka matuta 6 yale ya rasta mpaka unajiuliza ya nini kama dereva mgeni usiku unaweza mawili kuharibu gari au sababisha gari ya nyuma yako kukusukuma. Hivi...
unaweza kuwa unawalaumu tra bure kumbe hata wewe kuna shida mahali umekosea.Baada ya kuwa uliomba tin ya biashara na kufika ofisini kwao ulitakiwa kuandika barua kuwa umesimamisha biashara maana tayari ulishaanza kuonekana unabishara sasa kosa lako ulikaa kimya na tayari ulishakuwa na tin ya...
Kwenye makadirio mimi binafsi sijawahi sikia kuulizwa swala la NIDA sababu tayari nina TIN labda kama hukuwa na TIN na inatakiwa namba tu ya NIDA ujisajili mwenyewe. Hakuna kuulizwa NIDA kwenye ukadiriwaji. Pili sijawahi sikia kampuni unaenda TRA kukadiriwa maana kampuni zinajikadiria ndiyo...
unajua tumeumbwa na kukuzwa katika mazingira tofauti sana. Kuna watu huwezi kuamini kama ni wafanyakazi wa tra na kuna watu unaweza pia fikiria wapo tra. mimi mara nyingi napata msaada tu ndiyo maana hata ndugu yetu hapa niliomba niweze msaidia kuwafikishia naowafahamu.kuna baadhi wapo na shida...
mimi nishauri tu ama unastahili kutoa risiti wewe toa tu halafu tuone kama watakuja na sababu nyingine kuliko kutukutoa maana nao wanafata sheria na wasipofanya hivo nadhani kuna sehemu wanapimwa kama sikosei CAG.
asante ndugu yangu sote ni watanzania tukisaidiana hivi maana sijui lini na wapi nawe unaweza niasaidia nimefurahi kuona mwenzangu umefanikiwa karibu sana
Mwananchi mwenzangu pole nimecheki na jirani yangu huyo baada ya kunitumia taarifa zako nikampa ameniambia tayari na amesikitika sana na yaliyokukuta nikamuomba afatilie maana kasema hategemi wao kama tra watoe huduma mbovu sababu matarajio na miongozo yao ni huduma bora zenye weledi na uadilifu
Nadhani tungekuwa na tamaduni kama za wenzetu kupewa risiti kabla hata ya kudai tungefika mbali sana. Sasa hapa kwetu shida mtoa risiti hataki kutoa kwa madai eti akupunguzie bei na ukisema hapana wakati mwingine hata hiyo bidhaa utaambiwa rudisha. Imenikuta kariakoo mpaka nikajiuliza je mimi...
siyo wewe ni mwananchi mwezetu aliyekubali toa 20,000 pole hukunielewa ndugu. nia yangu nikusaidie ili hao wanaotukwamisha viongozi wao wawajue ndiyo maana niliomba unipe namba nimpe jirani yangu ni kiongozi huko
Mimi nashangaa kwa nini mnatoa rushwa na mnaogopa kusaidiwa. Nilitaka nikusaidie kwa kuona mwananchi mwenzangu wamekuzengua ila umekuwa mkimya haya mimi ngoja nipambane na mahesabu yangu ya siku nivute foleni ipungue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.