Kuna siku nilikua natoka mbagala zakiem naelekea chamazi ndio ilikua safari yangu ya kwanza kutembelea maeneo hayo.
Sasa Kuna kituo kinaitwa bamia wenyeji mtakua mnakifahamu, tulipofika maeneo hayo kwa sauti kubwa nilimsikia konda wale wa kibamia wajiandae daah!
Nilishindwa hata kununa ilibidi...
Ni kweli mkuu hata mimi naunga hoja kushikwa sio sababu matiti hukua kutokana na maumbile ya mwanamke , mbona wapo wanaoshikwa na wamechezea dyudyu mpaka basi lkn kifuani bado dede?
Ukiwasikiliza wao watakuambia kwamba kukua kwa matiti inatokana na maumbile na hata ukoo pia maana wapo hadi...
Airtel sina hamu nao line nishavunja kitambo sana, maana ilifikia hatua naunga bando nikiwasha tu data napokea ujumbe umebakiza asilimia 75.
Baada ya hapo huna chako
Atuachie timu yetu kwani yeye kafanya mangapi kupitia simba katangaza biashara kibao kupitia simba.
Kama hapati faida wakae chini na viongozi hatutaki mapenzi yake na timu ndio iwe fimbo kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.