Kama kweli wana nia ya kuona Watanzania wakitumia nishati salama wafanye kama Mauritius: kuingiza magari ya umeme iwe 100% duty-free kwa muda wa mwaka. Waone jinsi magari ya umeme yatakavyomiminika pamoja na vituo vya kuchajia.
Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m.
Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
Blue Band haina Expiry date, ina Best Before date. Pia, Blue Band ina 9-month shelf-life maana yake inaweza kutimika miezi 9 baada ya BB date.
Mleta mada labda ulete BB date ili tujue kama kweli siyo salama kwa matumizi.
Huyu SJR na Glazers wakimfukuza EtH itakuwa ni ufala sasa. Project inahitaji mwaka wa 3 maana mpaka sasa bado kuna maeneo anatumia wachezaji wa makocha waliopita.
Msimu wa 3 ndiyo utaonyesha picha kamili kama project yake itafanikiwa.
Dar na Arusha ina kipi cha ajabu mpaka mtu akiishi hapo aonekane anaweza kuishi mahali popote Duniani?
Majiji yote hayo yana fursa kwa kila mtu, kuna maisha ya kila aina. Kipato chako ndiyo kinaamua usihi vipi.
Dar na Arusha ndiyo sehemu rahisi zaidi kuishi maana kuna fursa ukiwa nje ya hayo...
1. Udini.
2. Hatari ya uvunjifu wa haki za binadamu. Wakati, Mauritius ni moja ya nchi rafiki katika kusimamia na kulinda haki za binadamu.
3. Miundombinu mibovu pamoja na magari chakavu. Wakati, Mauritius walitoa duty fees kwa magari ya umeme kuingizwa nchini mwao mpaka mwishoni mwa June...
Umenikumbusha kipindi nipo shule kuna maza alikuwa na mgahawa ukinunua chapati au vitumbua unapewa rosti ya maini bure.
Sasa hivi ndiyo najiuliza yale maini alikuwa anatoa wapi! 😅
Kabla ya miezi 6 mfumo wa umeng'enyaji wa chakula unakuwa haujakomaa. Kumpa mtoto chakula kabla ya miezi 6 inaweza kupelekea kuongezeka uzito kupita kiasi, kupaliwa, kukosa choo, kutapika, kuharisha, n.k. na hii yote ni hatari kwa afya ya mtoto.
Maziwa yana virutubisho vyote muhimu kwa ukuaji...
Elimu yetu ni utapeli. Kwa Dunia ilipofikia unaweza kusoma Computer Science mwenyewe na ukawa vizuri. Mimi naona wengi wanaenda chuo kuchukua tu vyeti maana hata ukitaka uwe Programmer mzuri lazima utarudi kujifunza mwenyewe tu, lecturer anakupa vi-PDF uchwara na sessions mbili-tatu, anatoa...
Ogopa sana Premier League early kick-off. Mechi ya mapema huwa lazima itoe matokeo yakushangaza. The Cherries nao si haba msimu huu, Arsenal wanaweza kupigwa tukio mapema tu kabla hawajafika machinjioni 'Old Trafford'.
United hatuna cha kupoteza tena, UCL imeshaendha hivyo ili Arsenyani wajiweke nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa wa EPL ni lazima watufunge OT.
Itakuwa siyo kazi rahisi kwa Arsenal. Kwenye mechi nyingi Arsenal wanapokuwa under pressure huwa wanaboronga na ni kwasababu ya uchanga wa kikosi...
Washinde tu aisee ila hawa wachezaji wetu hawajifunzi kitu.
Angalau Sir. Jim analeta watu wa mpira, yani uwanjani huoni tofauti ya mchezaji wa United na Coventry.
Sitashangaa United au Chelsea wakibeba EPL kabla ya Arsenal. Misimu miwili mfululizo mnaongoza ligi na kupiga kelele ikifika mwishoni mnaachia wahuni wajipigie tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.