Umenikumbusha kulikuwa na kipindi nadhani Chanel 10 kikiitwa Muziki na Buzz,Alikuwa akiendesha Frenk Mtao na Salma Msangi.Yaani nilikuwa natuma sana Salamu kwa Email kwenye Internet cafe...
Yupo sahihi lakini miaka ya 2001 ndio Video yake ilibamba sana,Hata mimi nilinunua mwaka huo.Ndani kulikuwa na nyimbo nyingi nzuri zikisindikizwa na Sauti nzuri ya Dada Beatrice Muhone.
Hiyo video inamaanisha sana,Kitendo chakukataa pesa na kukataa msaada na kuonana na mtu haswa wakiume. Watu watakuwa wanafanya kitu mbaya sana Jane jamani
Umesomea nini chuo na katika level gani?I see mshahara wa 250k ndogo sana si mishahara wa Shamba boy au dada wa laundry.Labda kazi iwe karibu na makazi yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.