Sana Mkuu, nje ya mji kama Ngulelo iyo 150k unapata kwa kulenga sana tena ni room 1 na sebule tu. Hapa anasema nyumba ya room 3 😂😂 sijui katuonaje huyu jamaa.
Tuache ubishi, kesho tukutane Florida saa tano ukanioneshe hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya 150k, mimi nitakupa 200k. Njoo inbox nikupe namba ya simu tuwasiliane.
Hatakuwa na usajili kwenye mfumo wetu, si unaona hata hizi piki piki za umeme hazina usajili.
Ila sasa hivi nadhani zitatakiwa kusajiliwa rasmi. Hichi ni kichaka cha mapato yaliyokuwa tanapotea.
Kuna aina mbili za wadudu
Wadudu wasanii (feki) na ndio unawaona wakiwa mara na RC mara wapo kwenye mziki. Hao sio wadudu wenyewe bali wasanii tu hao.
Alafu sasa kuna,
Wadudu Og, hawa ndio watu hatari. Kwanza hawana shobo na serikali sababu ni adui wao namba moja, why? Sababu ni wahalifu...
Ukweli ni kwamba, watumishi wengi ni wavivu wa kufikiri na hawajui kujieleza.
Kuna muda wanafanya mambo mtu unaliangalia unasema hili linaweza kufanywa na mtu mpumbavu tu. Uvivu wa kufikiri ni tatizo kubwa sana
Ni bro wa 40 years huyo Mkuu. Anasema anamiguu laini anayoipenda na kila akioga anahakikisha kajisafisha kila kona ya mwili wake.
Kashagombana sana na ndugu na mama yake kisa tabia zake hizo. Pia hajaoa bado sababu hajampata Sinderela wake.
Alipo hatujui, ila ni jamaa mmoja anafikirisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.