Search results

  1. A

    Kuelekea 2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Ndio itabidi Mimi nijitole roho yangu tumpatie Kiongozi wetu mpendwa ambaye bila yeye hakuna nchi kama Tanzania
  2. A

    Kuelekea 2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Sasa Allah akiamua itakuaje .
  3. A

    RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

    Kichwa cha habari ni Msaada wa Korea, lakini inaonekana ni mkopo, yaani mzigo WA kubomoa na kujenga nyingine ni wetu.
  4. A

    RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

    Na huku kuna Yule Waziri wa kujenga Barabara Kwa EPC+f Kwa kuongeza cha juu. Watalipa wadanganyika
  5. A

    RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

    Kazi za kitaalamu, wanasiasa wanataka kuzifanya zao, matokeo yake ndio haya. Haya mambo ya mpango WA maendeleo waachiwe wachumi-Tume ya Mipango na wabunifu majengo. Sio wanasiasa au wale wastaafu waliochaguliwa Tume ya Mipango.
  6. A

    Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Kuna Msemo siku njema huonekana Asubuhi sio usiku wa kiza ndio mtazamo wangu, ingekuwa kama wengine mihula 2 na hatujaona kitu Hadi usiku, sijui ingekuaje Kwa Magufuli wa muhula moja.
  7. A

    Waziri wa Fedha: Serikali iko mbioni kupendendekeza chanzo kipya cha mapato kupata fedha za Wizara ya ujenzi kutatua dharura

    Huyu ameshindwa kuwa msaidizi mzuri wa Raisi, Kwani hatumibelimu yake ya uchumi kumshauri Raisi pamoja na Sirikali yote Kwa jumla
  8. A

    Waziri wa Fedha: Serikali iko mbioni kupendendekeza chanzo kipya cha mapato kupata fedha za Wizara ya ujenzi kutatua dharura

    Chanzo kipya ni kupunguza matumizi ya wabunge, mishahara, idadi, Aina ya nishati wanayotumia mfano toka diesel kwenda gesi na serikalini hivyo.
  9. A

    Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Kwanini Kikwete hakuitekeleza muhula wake wa Kwanza au wapili .
  10. A

    Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Hivi vitu vilitakiwa vifanywe na 'boyz to men's kumbe walikuwa fake au Ndoa ilivyo vunjika ndio ikasababisha kutofanyika Kwa wakati
  11. A

    KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Naona vilio vimeanza soma post Namba 17
  12. A

    KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Latest M23 rebels, Congolese army clashes leave 8 dead, 9 injured May 30, 2024Written by URN Fierce fighting between March 23 Movement (M23) rebels and the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC), along with coalition forces in Kikuku, North Kivu province has resulted in the...
  13. A

    Mataifa 50 kukutana Uswisi kujadili amani ya Ukraine na Urusi

    Kwa maelezo yako inaonyesha huna hizo taarifa, Bali ni simulizi zako.
  14. A

    Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

    Inawezekana kutokana na Ugeni wake hapa darisalama anafikiria Marehemu JPM
  15. A

    Halima Mdee: Waziri Mbarawa alikurupuka na kulidanganya Bunge na Rais kuhusu mikataba ya ujenzi wa Barabara za EPC+F

    Na alidai ni wa mfano wake pekee na bei yake si ya kitoto .
  16. A

    Carbon offsets: UAE own %8 of Tanzania Forest

    The big climate rip off ipo kwenye gazetti la the standard la Kenya la 28/05/2024
  17. A

    Carbon offsets: UAE own %8 of Tanzania Forest

    It is time for Kenya and Africa to stop selling carbon credits for a song By Editorial | May. 29, 2024 In April, Kenya experienced what could be the worst flooding ever recorded in the country. The flooding came not long after a three-year drought spell, one of the worst that the country has...
  18. A

    Mataifa 50 kukutana Uswisi kujadili amani ya Ukraine na Urusi

    Unaweza weka hiyo kauli yake kuonyesha hivyo na Masharti yake. Hapo Mwanzo na ya sasa hivi kama zipo Sawa. Na za Mrusi wakati ule na sasa
Back
Top Bottom