Sasa mnajichanganya........Wenzio wanatafuta namna ya kukana ushahidi wewe unakuja kujustify......Hebu kadiscuss kwanza na wenzio kwenye group lenu mje na msimamo mmoja
Katika mtu mwenye mashabiki wasio na akili Nasib anaongoza......Sasa hii inahusikaje na kumshusha mtu? Yani kuna watu wanatia huruma walivyo mataahira
Wasanii wote wanapenda kuzungumziwa, its good for business...Na muda mwingine ni wao wenyewe ndo wanajitengenezea scandals ili wabaki midomoni...
Habari wakuu,
Kama heading inavyojieleza, kapita pita pita zangu nikapata hii taarifa kuwa walimu hawalipi yale makodi ya TRA wanapoagiza magari, naomba wenye ujuzi wanipe ukweli upoje na kama kuna link yoyote nitakapoweza kupata taarifa rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....Yani team diamond mnafurahisha sana.....Leo mnakuja na gia ya kutokuwa na timu? Hhahaha, sasa ishu iko hivi....Kama wewe hujauona kuwa ni mzuri...Kina moodewji, prof jay, ngeleja, kigwangala, mwanafa, ridhiwani, itv, clouds, earadio, mimi, mke wangu,etc wote wameuona ni mzuri...
So...
Hahahaha....Yani nyie watu asee.....Kwa hiyo kwa sababu walimsifia mond haitakiwi kabisa wamsifie msanii mwingine? Hivi mna momi lakini? Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnadhani kusifiwa Ali Kiba ni kumshusha mwingine? Kwa nini nyie msiopenda Ali Kiba afanikiwe ndo muwe watu wazuri?
Unajua hata wale vichaa wanaokula kwenye takataka huwa wanaona watu wengine wazima ni vichaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, naona mmekuja kivingine....Kwani what is so special about any other song? What is so special about zilipendwa? Or My number one?
What was so special in hainaga ushemeji? Ambayo watu waliiponda sana humu but mtaani ilibamba sana...
Yani iko hivi, kama vile wewe unavyoona nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.