👿👿Mke mkerembeshe, ukimshindwa anakuwa mkemia, kila kitu ana uwezo wa kukitambua, hakuna demokrasia kwenye ndoa, hata adamu aliishi na mke wa pili, kuna aliyeumbwa sambamba nae kwa udongo(mzo 1:27) na yule aliyetolewa ubavuni mwake (Mzo 2:21-22)
kuna wanaowakamata ugoni ila wanaendelea kuishi ,kuna wanaonusurika kupewa sumu ila wanaendelea na ndoa!
amua utakacho, hapa jf hakuna mawazo ya kutoaheleza moyo wako ujje, maana sitaki nataka haina ushauri
Habari zenu wana jamvi,
Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni,
je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho?
Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus...
Kuwaza kufuta CHADEMA ni upeo mfupi wa kufikiri, huwezi kuwa Greet thinker usijue ukubwa wa kazi zilizofanywa na Chadema kuibua mambo nchi hii, nachelea kusema
'Ushabiki' ni neno sawa na 'uhuni'
kumwamini mwanaume kwamba hawezi kutongoza nje ni ujinga unaotokana na kukumbatia mafundisho ya wazungu, waliyoyaleta kwa maslahi yao, maana kwa asili kila kiumbe cha kiume kinazo sababu za asili kuwa na jike zaidi ya moja.
Ibrahimu baba wa imani ya kikristo alikuwa na wake wengi
japo uzinzi...
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.