Napendekeza kusiwe na Mabadiliko ya ilani ya chama kinachokuwa madarakani mara kwa mara.
Na ilani ya chama iwe ni mali ya Serikali (Umma).
Aidha, tunapoenda kwenye chaguzi na kumaliza uchaguzi tuendelee na ilani iliyokuwepo ispokuwepo Rais anae ingia Madarakani aseme kwa kila kipengele cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.