Search results

  1. M

    Ni vigezo gani vinavyofanya Wabunge walipwe posho na mishahara mikubwa kiasi hicho?

    Miongoni wa kundi linalokula keki ya Taifa kwa mrija bila kujali umaskini wa Wananchi ambao ni wapiga kura ni hawa wabunge wa bunge letu. Wabunge wetu wamekuwa Wanalipwa posho, mikopo ya magari, Fedha za Mfuko Mbunge na mishahara. Fedha zote hizo ni mamiliini ya Shillingi fedha ambazo ni kodi...
  2. M

    Ugumu wa maisha Tanzania wawaathiri wapinzani tu wanaccm maisha yao ni mazuri

    Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike. Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
  3. M

    Agizo la Waziri wa Ardhi juu ya ujenzi holela wa vituo vya mafuta liliishia wapi?

    Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka makamishna wasaidizi wa mikoa kumpelekea orodha ya vituo vya mafuta vikionesha umbali toka kituo hadi kituo...
  4. M

    UENYEKITI WA MBOWE UNAWATESA CCM JE NI UJINGA WA MAKADA WA CCM KUTESEKA?

    Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE.Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI wa MBOWE?Sikumtarajia mtu kama Kigwangalah kushindwa kusema UKWELI juu ya KILICHOMFUKUZISHA Bwana...
  5. M

    WAZIRI KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI JE WASAIDIZI WAKE WAMESHINDWA KABISA KUTATUA AU WAO NI SEHEMU YA HIYO MIGOGORO?

    Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO? Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka mingi sasa.Migogoro hiyo imegawanyika Sehemu kuu 2 1.Migogoro inayosababishwa na Wananchi 2.Migogoro...
  6. M

    Mbona zile mbinu za Makonda za kuhutubia kwa kuingia na trekta, mkokoteni hatuzioni tena huko Arusha au yalikuwa maigizo?

    Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k. Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile...
  7. M

    Chombo pekee cha kudai katiba mpya ni Vyama vya Siasa Wananchi nani atawakusanya ili wadai katiba mpya?

    CCM Watanzania tunataka KATIBA MPYA .Acheni kupotosha kuwa Eti KATIBA sio ya VYAMA bali ya WANANCHI wakati Wananchi hao hao wapo kwenye HIVYO VYAMA. VYAMA ni LAZIMA viwasemee WANANCHI wa NCHI hii,Vyama lazima Viwaelimishe Wananchi hawa Faida ya KATIBA MPYA kwani Kwenye Vyama kuna Wasomi wengi...
  8. M

    Nabii Dominic asema anaweza kumfufua aliyekufa

    Leo ktk kipindi cha ICU, Madaktari wa ICU walikuwa wamemtembelea Nabii Dominic. Ktk moja ya Maswali yao walimuuliza iwapo ana uwezo wa kumfufua mtu aliyekufa. JIBU alilowapa ni NDIO ninaweza kumfufua mtu aliyekufa na tayari nimewafufua watu 30. Nabii akaenda mbali zaidi akawaambia najua hata...
  9. M

    Halima Mdee na wenzake 18 ni sawa na watumishi wenye vyeti fake wanalipwa mishahara licha ya kutokuwa wabunge

    Najaribu kuwaza kilichowapata wafanyakazi wenye vyeti fake walibainika kuwa hawana vyeti halali ili kuhalalisha ajira zao.Wafanyakazi hao waliondolewa haraka serikalini na kusitisha mishahara yao na report ya CAG ikataja na fedha walizokuwa wanalipwa kama mishahara. Halima mdee na wenzake 18 ni...
  10. M

    Usiogope kufa, kufa ni kupumzika na kula raha hakuna utafutaji huko

    Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA. Kuthibitisha hilo ni Wale wote waliokufa hakuna hata Mmoja aliyewahi kurudi tena ni wazi huko aliko ni kuzuri ndio...
  11. M

    Baadhi ya shida za Wananchi ambazo Mkuu wa Mkoa wa Arusha anapaswa kuzitatua

    Hizi ni baadhi ya shida za Wananchi ambazo Mkuuu wa Mkoa anapaswa kuzitatua. 1. Mimi nilikuwa Mzuri ila mume wangu kanifubaza kwa Mateso Mkuu wa Mkoa nisaidie" hiyo ni Kauli ya mmoja wa wanawake waliojitokeza kwa Mkuu wa Mkoa hebu tusubiri utatuzi wake, je atamrudishia Uzuri wake au itakuwaje...
  12. M

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    MAKONDA HUYU HUYU ALIYEMPIGA MZEE WARIOBA MAKONDA HUYU HUYU Aliyevamia CLOUDS TV Makonda huyu huyu aliyesema Liwassa katelekeza mtoto Makinda huyu huyu aliyewasingizia kina Maji Gwajima na Mbowe kuwa wauza madawa LEO Ndio WAKUPAKWA MAFUTA? Kweli MUNGU anadhihakiwa sana
  13. M

    CHADEMA kusambaratika kwasababu ya uroho na tamaa ya urais wa viongozi wake

    Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais. Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa...
  14. M

    Ni chombo gani kinapima utendaji wa wabunge katika kipindi cha miaka 5?

    Wadau naomba kujua, ni chombo gani kipo kisheria kinachowapima wabunge utendaji wao katika kipindi cha Miaka 5 ya ubunge wao au wanajipima wenyewe? Nataka nipate taarifa za mbunge wangu kama ameyatekeleza aliyotuahidi wakati anaomba kura kwani Muda mwingi alikuwa Dar na Dodoma.
  15. M

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama. Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya...
  16. M

    Kuna nini kati ya James Mbatia na Joseph Selasini?

    Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha. Katika Kesi hiyo Mh. Joseph Selasini ametakiwa na Mahakama Kumlipa Mh James Mbatia Tsh Milioni 80. Je TAARIFA HIZI...
  17. M

    Kwanini Jakaya Kikwete haipiganii katiba mpya aliyotaka kuawaachia watanzania wakati wa utawala wake?

    Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana JAKAYA KIKWETE. Namtaja Mh.KIKWETE kwa sababu Mh.huyu alikuwa na HOJA muhimu kwanini alitaka...
  18. M

    Kinana anakiri hadharani kuwa yaliyotokea 2019 na 2020 hayatajirudia. Atuambie pia uhalali wa chaguzi zile

    Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na haki na hakitajirudia kile kilichojitokeza katika uchaguzi wa 2019 na 2020. Kauli...
  19. M

    Swali kwa TFF: Mchezaji kama hajatimiza vigezo vya usajili anaweza kuruhusiwa kucheza?

    Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza? Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe vugezo, adhabu ya Kucheza kabla ya kukamilisha vigezo kwa Mujibu wa sheria za FIFA na TFF ni zipi?
  20. M

    Mzee kinana, CCM ndio kikwazo cha upatikanaji wa katiba mpya sasa ni miaka 10 toka mchakato wananchi tunataka katiba yetu

    Inashangaza sana kuona CCM haitaki kabisa kuendeleza mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya katiba inayohitajika sana na wananchi. Mchakato huu ulianzishwa na mwenyekiti wa CCM wa awamu ya 4 Jakaya Kikwete na kuufikisha ktk ngazi ya bunge la katiba na mahafidhina wa CCM wakauvuruga mchakato...
Back
Top Bottom