Search results

  1. U

    Wana Mbeya mpo tayari kuburudika na Katarama?

    Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar? Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko Mkikataa atawaacha na machuma yenu Mkikubali Katarama...
  2. U

    Wachungaji wa makanisa binafsi mjiheshimu kulinda maadili ya kanisa

    Ukristo duniani kote unaendeshwa kwa upendo,amani na kuvumiliana Ila wachungaji wa makanisa binafsi wanafanya mambo yaliyovuka kiwango cha ibada na kuonekana zaidi kama wanafanya vituko Naamini wachungaji wengi walikuwa na lengo la kumtumikia na Kutangaza injili ya krstu walipoanza malengo yao...
  3. U

    Donald Trump: Jesus is my savior

    Jesus is my Savior Trump is my President ... Mgombea urais wa USA kwa tiketi ya Republicans amezindua bidhaa mbalimbali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu Bidhaa kama tishert, kofia na vingine vinauzika sana toka kuzinduliwa Bidhaa hizo zinalenga kutunisha mfuko wa kampeni kwa mgombea...
  4. U

    Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

    Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo...
  5. U

    Moja ya sababu ya kuingiza somo la kiislam ktk tahasusi ni kuaanda mazingira lugha ya kiarabu iwe ya lazima kuanzia ngazi za chini hadi juu

    Watanganyika safari hii wamenasa Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......) Walianza na ngorongoro Wakaja na bandari Wakaja kwenye mabasi ya mwendokasi wanapewa waarabu Kwenye media ( wameua media za kizalendo wameziinua media zinazomilikiwa...
  6. U

    Israeli imemtuma mkuu wa ujasusi kwenda Qatar

    Baada ya magaidi Hamas kuwasilisha mpango ambao unamwelekeo wa kukomesha vita Mkuu wa mosad bwana david ataongoza ujumbe wa Israeli ktk mazungumzo yanayolenga kusimamisha vita Mtakumbuka hapo awail magaidi wa hamas walitoa shurba kibao ili kuwezeshwa kusitishwa kwa vita kisa kilichopolekea...
  7. U

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Moja ya jukumu la serikali ni kuregulate soko la ndani ili wananchi wasipatwe na ukali wa maisha ama waweze kumudu gharama za maisha. Nimeangalia nyanya masokoni haikamatiki bei ipo juu. Chanzo ikiwa ni waarabu na wasomali wanaenda wananunua shamba la nyanya wakishavuna mzigo unaenda nje ya...
  8. U

    Kumbukumbu ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Rais John Magufuli

    Rais wetu mzalendo Hayati John Magufuli tarehe 17.03.2024 siku ya Jumapili atatimiza miaka mitatu toka kulala kwake usingizi wa daima Kupitia haiba yake ya Uzalendo Uchapakazi Upendo Uaminifu Kujitoa Uvumilivu Msikivu Ucheshi, upole na huruma kutoka kwake Vijana mnaweza kujifunza kutoka kwa...
  9. U

    Arteta ameanza kukua kimpira amebakisha vitu vichache awe kocha bora

    Nimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo Ila msimu huu ameongoza kitu Na amebadilika sana Kusema kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni The guy is working hard to be best football...
  10. U

    Je, kuna kiongozi yeyeto wa Taifa jirani aliehudhuria msiba wa marehemu mwinyi?

    Naomba kujulishwa hili Ni Rais wa nchi gani aliehudhuria msiba wa hayati mwinyi kwa ukanda huu Km hawakuhudhuria je ile dhana ya miaka ya 90 mwanzon na 80 mwishoni ilikuwa ni kweli kuhusu mwinyi?
  11. U

    Mwinyi amefariki bila kuomba msamaha Wamasai kwa kuuza ardhi yao kwa Waarabu. Familia yake iombe msamaha na Waarabu wafukuzwe Loliondo

    Hakika inasikitisha kuanzia miaka ya 90 mpaka leo eneo la Loliondo lipo chini ya milki ya falme za kiarabu. Waliuziwa na Rais mwinyi wakati huo mpaka leo wamasai wanaishi km wakimbizi kwenye nchi yao. Ukiacha madoa mengi ya mwingi kwenye utawala wake km kuua viwanda na kuwazawadia viwanda...
  12. U

    Askofu Malasusa ataisambaratisha KKKT

    Malasusa hajachaguliwa na kanisa amechaguliwa na Serikali Hakuna asiyejua Malasusa ni member wa kaunda suti kule kitengo Safari hii amewekwa na mamlaka kuisadia Serikali na kupambana na TEC Bahati mbaya kule KKKT hakuna mfumo mzuri wa mgawanyo wa uongozi Hivyo anaweza kujitokeza mtu mwenye...
  13. U

    Bou Habib: tunawaomba Israel wasitupige

    Waziri wa mambo ya nje wa lebanon amenwomba waziri wa diplomasia wa ufaransa kuwasihi israeli isiitandike lebanon Upande wa nchi wa lebanon umekuwa kimbilio kwa magaidi yenye asili ya palestine ambao wakiwa lebanon hujifungamanisha na chama cha kigaidi cha hezbollah Kutokana na magaidi ya...
  14. U

    Wahindu wabomoa msikiti na kuua Waislam kadhaa

    Huko india wahindu walikerwa na msikiti uliokuwa jirani na makazi ya watu kuwa unawapigia kelele na kuamua kuubomoa bila kuita serikali Waislam wa msikiti huo walijaribu kwenda mahakamani kupinga wazo la kubomoa msikiti lakini kabla ya mahakama haijatoa hukumu wahindu walivunja vunja huo...
  15. U

    Ayemeric Laporte: wachezaji wengi waliotoka Ligi za Ulaya wamechoshwa na maisha ya Saudi Arabia

    Mchezaji wa Zamani wa Manchester City amekuja hadharani na kusema maisha ya Saudi Arabia yamekuwa ndoto za alianacha kwa wachezaji waliotoka ulaya "Tunawasiliana na wachezaji wengi hapa miongoni mwa waliotoka bara la ulaya, wengi wanaonyesha hawafurahii kabisa maisha ya hapa... Lakini ni...
  16. U

    Unapata hisia gani Doctor anapofariki dunia

    Duniani ni ubatili mtupu ubatili mtupu Doctor kijana anafariki dunia sio kwa ajali bali kwa maradhi. Kwenye mid 40 he is no more. Doctor ndio anatibu wagonjwa na kutushauri lkn amechukuliwa yeye. Tulipokuwa watoto tulitamani tuwe wakubwa ili tujitegemee tuenjoy life. Tumekuwa wakubwa...
  17. U

    Wananchi wa Africa kusini hawaridhishwi na serkali kuizonga nchi ya Israeli

    Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa kutokuzingatia mambo ya muhimu na changamoto zinazoikumba africa kusini na badala inajihusisha na mambo...
  18. U

    Wachezaji waanza muchos he's na ligi ya saudi arabia wengi waanza kuomba kuondoka

    Pamoja na mapesa yanayomwaga na ligi ya saudi arabia "saud professional leugue lkn bado ligi hiyo haijawa darling league km zilivyo ligi za uropa Utakubaliana na mimi angalia ligi ya uscoch ambayo ina vigogo km celtic na rangers inahamasa mvuto na upinzani kuliko saudi arabia Upinzani na ladha...
  19. U

    Kilo 1 ya sukari imeshafikia Tsh. 4000

    Nawakumbusha tu kwa sasa kilo ya sukari ni Tsh. 4,000. Hii ni hatari. Amini nakwambia 2024 kilo ya sukari itafikia 4500 hadi 5000. Then unawasha TV unasikia sijui kuupiga mwingi, sijui nini ili mradi ujinga na upumbavu! Mungu atunusuru.
  20. U

    Zimebaki siku 363 tusherehekee Christmas ijayo

    Kwa mapenzi ya Mungu tuombeane afya na uzima Tujaaliwe kusherekea Christmas ya 2024 Christmas ni ishara ya kuzaliwa kwaYesu Kristo mkombozi wa ulimwengu Christmas ya mwaka huu imekuwa ngumu sana kwangu nipo mbali na familia Nimeongea nao kwa WhatsApp video call lkn i can't feel it Hongera...
Back
Top Bottom