. Hakuna mwanaume mwenye hasira na wivu mkali kwa mwanamke asiye mhudumia wala kumlipia mahari labda awe mpumbavu. Mauaji mengi ya mwanaume kumuua mwanamke sio kwa sababu ya wivu wa mapenzi bali kwa asilimia kubwa ni fedha na garama zilizomtoka tofauti na mwanamke ni mapenzi
Wanaume wengi...
Siku ya leo ni balaa . Vichwa vingi vinawaza uzinifu tu. Bora hata uwe busy ukiwa jobless ni kama unabeba na upwiru wa wenzako unakutesa kinoma kisha huna hata buku tatu ukachungulie mitaa ile .
Kwa hali hii Wazee wa kataa ndoa inabidi tunajaribu kupiga tathmini hali hii, majibu tutatoa baada...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28 kwa sasa. Bila shaka wengi mshajua mimi ni mzaliwa wa wapi kutokana na jina nililo watajia ila kwa...
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?
Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya utu au ubinadamu na Dini. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua bila Dini ubinadamu na utu vita...
Nilishawahi kuletaga thread ya mimi kuwa na hisia zinazonichanganya na wakati mwingine nazitumia kutabiri matokeo ya jambo fulani.
Kama mwezi mmoja kabla ya tukio la October 7 mdogo wangu wa mwisho alienda Israel [emoji1134] miongoni mwa vijana karibu 200 waliopelekwa na serikali kupata elimu...
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.
Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko
Hata utambulisho wetu Uzanzibar na Utanganyika usikosekane
Tukazie hapahapa kwenye mshono
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.
Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote Handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya...
Kati ya siku ambazo sitazisahau kwenye maisha yangu yote ni leo.
Muda wa saa nne asubuhi nimeenda kutembelea biashara yangu moja mtaa fulani hapa hapa dar . Biashara ilipo lazima utumie bodaboda au bajaji kufika. Sasa ile kwenda nimeenda fresh nimefanya yaliyonipeleka mpaka saa tano na nusu...
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.
mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake nilikutana kimwili na mwanamke ambaye tulikuwa na mahusiano kitambo . Baada ya kumaliza yaliyonileta dar...
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba.
Ujue bora akusalimie tu shkamoo
Hapo ujue bado upo
Ila akimalizia tu .
Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela
Hali kama hii ya hofu inanitokea mara chache kabla hata sijapokea taarifa mbaya . Au jambo baya kutokea na sijui kwa nini sometimes inatokea alafu nisielewe kabisa shida nini na inapotokea naanza kuwaza ni tatizo gani linakuja namwomba Mungu Aniepushie.
Sasa leo nilitaka kutoka mida ya saa moja...
Wakuu nimejaribu kupiga hatua kwenye maisha yangu na kuweka mfanyakazi kwenye biashara yangu mara 3 kwenye duka la rejareja na huduma za kifedha m pesa tigo pesa airtel money halopesa lakini kila nikiachaga mfanyakazi wengine wanafanya vizuri mwanzo baada ya muda tu anaharibu na kuleta hasara...
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa namna hii.
Mpinzani wangu ni mwanamke kabla ya kufungua biashara aliweka ukaribu mkubwa na mimi na...
Juzi niliamua kuingia soko la mitumba Karume kwa mara ya kwanza. Kweli ni sehemu nzuri ya kupata nguo nzuri za mitumba. Ila kuna kero moja isiyovumilika kwa watu tunaopenda ustaarabu.
Kila mfanyabiashara ana spika kwahiyo kelele za pale zimekuwa ni kero kubwa sijui wenyewe wanaonaje ila kwangu...
Wakuu vijana tunahitaji sana kutoka kimaisha lakini tunafelishwa na watu wachache wenye roho mbaya.
Duka la vyakula ni mtihani sana.
Huyu mkurugenzi alikuwa anahusika na kupikia shule tatu huku Kibamba.
Hakuwa na mtaji wa kumudu zote na huduma nyingine anazo.
Akaja tukaingia makubaliano akawa...
Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli
Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau
Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 28 elimu ya form six chuo niliishia mwaka wa 2 kwa sababu ya kuugua baada ya hapo nikajikita zaidi kwenye biashara ambazo ndio zinaharibu akili yangu.
Tatizo kubwa linaletwa na upweke nilioishi utotoni. Niliishi na wazazi lakini mama alikuwa mtu wa kuugua na baba...
Siku hiyo nilikuwa kazini. Mke wangu alibaki nyumbani na mwanangu wa kike wa miaka 11 . Sasa ilipofika muda wa saa 11 mke wangu alitoka na kumwaga mwanangu kuwa anakwenda dukani bila mwanangu kujua kule ndani tayari mchepuko wa mke wangu alikuwa amejificha ndani.
Baada ya mke wangu kuondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.