Search results

  1. Askarimaji

    Mapenzi ni huruma....tafsiri isiyo na shaka

    Habari zenu ndugu zangu, Leo nimejisikia kuwapa tafsiri halisi ya neno mapenzi, wadogo zangu mliokuwa humu na watoto zangu pia kwa ujumla, kokote ulipo ukiulizwa nini maana ya neno MAPENZI, Jibu hivi " mapenzi ni huruma". Yoyote anaekupenda lazima akuonee huruma, Je unataka kumjua mtu...
  2. Askarimaji

    Samia na Magufuli nani mkweli kuhusu mikopo na miradi?

    Sura mbili Samia, Magufuli kwenye mikopo Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi mikubwa ya kimkakati yamekuwa yakiibua mjadala katika jamii, kuhusu ama ni za ndani au ni za mikopo. Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi...
  3. Askarimaji

    Korea Kaskazini yajaribu kombora kutoka bara moja hadi jingine

    Korea Kaskazini yajaribu kombora kutoka bara moja hadi jingine Kim Jong Un ameshuhudia majaribio ya kombora kubwa la masafa marefu linaloweza kutoka bara moja hadi jingine, akiihakikishia nchi yake kuwa iko tayari kwa "ugomvi wa muda mrefu" dhidi ya Marekani, chombo cha habari cha serikali...
  4. Askarimaji

    Fahamu mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani

    Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki. Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
  5. Askarimaji

    Ukraine na Urusi: Je, vaccum au thermobaric ni bomu la aina gani?

    Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
  6. Askarimaji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
  7. Askarimaji

    Jua ishara 11 za mwanamke anaekupenda lakini anashindwa kukwambia

    Jua Ishara 11 za Mwanamke Anayekupenda, Lakini Anashindwa Kukueleza Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama anampenda, wengi wao husubiri kwanza mpaka mwanaume aanze kuweka wazi hisia zake, lakini ni ukweli...
  8. Askarimaji

    Kila msichana ninae mchunguza naona hafai kuolewa na mimi, mwaka wa 7 sasa sijapata mtu sahihi wa kuoa

    Habari ndugu zanguni? Mimi ni mwanaume wa miaka 37 sasa, Ni mwaka wa saba sasa tangia nianze kutafuta mwanamke wa kuoa sijampata, wanawake wazuri wenye tabia njema kwa macho wapo wengi sana ila nikisema sasa nianze kumchunguza tu nagundua mauzauza mengi na kuhailisha kwa kila nimpatae...
  9. Askarimaji

    Nakupa siri, maji ya moto ni dawa ya magonjwa zaidi ya 40

    Habari zenu bandugu? Leo nawapa siri kubwa sana ambayo baadhi yenu wachache tayari mnaijua japo hamjaizingatia sana. Siri ya maji ya moto Chukua maji lita moja yachemshe yachemke ipasavyo. Yaache yapoe kidogo yawe ya uvugu uvugu, kunywa asubuhi baada ya kuamka kabla ya kula chochote, masaa...
  10. Askarimaji

    Wazanzibar hawautaki muungano, tunawalazimisha tu

    Mashahid wawili waliokuwa wanashuhudia utiaji sahihi wa hati ya mungano kati ya nyerere na Karume waliuliwa kwa kutatanisha, baadae Karume mwenyewe nae akajakuuliwa kwa kutatanisha pia, Baada ya hapo hati ya muungano haujulikani ilipo, ukihoji unaozea jera kama shekh Farid na Mselemu Ally na...
  11. Askarimaji

    Nakujuza jinsi janaba inavyobemenda mtoto mdogo mpaka afya kukongoroka

    Leo nakueleza namna janaba linavyoweza kubemenda afya ya matoto mdogo, nakueleza kwanini mtoto wako anadhoofika wa mwenzio anakuwa na afya imara bila kula lishe madhubuti. Lile jasho la ngono, jasho.. Harufu... Uchafu unaopatikana baada ya kumaliza kufanya mapenzi ni sumu kubwa kwa mtoto mdogo...
  12. Askarimaji

    Yaliyomkuta Bangosilo ni funzo kwa mimi na wewe

    Nikiwa Kariakoo pale mtaa wa Lindi ofisini kwangu ikaja gari moja zuri la thamani, namuona dereva anahangaika kuipaki vizuri, punde baada ya kumaliza kupaki dereva anaitwa Bagosilo anashuka na kunifata baada ya kusoma bango langu pale mbele, akaniuliza "wewe ndio fundi simu? Nikamjibu ndio mimi...
  13. Askarimaji

    Hongera mwanamke kwa sifa ya uvumilivu

    Hongera sana mwanamke kwa sifa ya uvumilivu, Ni sifa ya kipekee sana, mnavumilia vitu vingi sana kwetu sisi wanaume, Unakuta jitu ni livutaji la sigara, akitoa hii anaweka nyingine, ratiba yake ya kupiga mswaki ni asubuhi tu bas, kutwa nzima ameshavuta sigara zake kama kumi na....anakuja kwa...
  14. Askarimaji

    UZURI WA NYUMBA SIO MILANGO WALA MADIRISHA, UZURI WA NYUMBA NI.......

    Uzuri wa nyumba sio milango wala madirisha, uzuri wa nyumba ni mwanamke na sio kingine, kama nyumba yako itakuwa ina mwanamke mwenye maneno mazuri, hekima na busara, tabia njema, mwenye kujali ndugu na jamaa zenu, anaekuvutia pia...nk Hapo utajihis mfalme, utapenda kuwai kurud nyumbani, kazini...
  15. Askarimaji

    JINI MAHABA NI TATIZO KUBWA KWA WAKE ZETU NA NDOA KUVUNJIKA.

    Jini mahaba ni tatizo kubwa kupelekea ndoa zetu kuvunjika kila kukicha, Jini mahaba huwakumba wanawake kwa asilimia 73 mpaka 80. Kule visiwani wanawake asilimia 92 wanamajini, wenye majini mahaba ni asilimia 87, kwa ndugu zetu waliowahi kuishi Zanzibar,Mafia na Tanga pia hawatonipinga kwa hizi...
  16. Askarimaji

    Wazazi, tamaa za kuongeza mahari zitapelekea binti zenu kuzeekea nyumbani

    Binti anataja mahari yake pesa kiduchu sababu anamuonea huruma mpenzi wake, hataki kumkomoa lakini nyie wazazi mnakuja kuongeza mara nne zaidi. Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa. Kwani wewe ndiye unayeenda kuolewa au kuvumilia kero za ndoa!? Au unataka fidia kwa malezi ya mtoto wako...
  17. Askarimaji

    Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

    Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu. Mwanamke anaweza akajikuta tu anakudharau bila yeye mwenyewe kujijua, hii inakuja baada...
  18. Askarimaji

    WAKISOMA SANA...IMANI KWA MUNGU NA DINI INAPUNGUA KWA KASI KUBWA.

    Wanapopata nafasi ya kusoma sana na kuujua ulimwengu wanaanza dharau juu ya utukufu wa mungu, wanaanza kuwa na imani ndogo juu ya dini, wanaanza kuamini zaidi katika sayansi, wanaanza kufuata maisha ya wasomi na wagunduzi wa mambo wa kale mfano Isack Newton na wengine, Akisoma sana...
  19. Askarimaji

    Hakuna kiumbe ambae ni mwepesi kubadilika kama mwanamke, iwe anabadilika katika uzuri au ubaya

    Leo nawajuza kitu muhimu zaidi, Hakuna kiumbe ambae ni mwepesi kubadilika kama mwanamke, iwe anabadilika katika uzuri au ubaya. Mwanamke unaemfahamu miaka kumi na tano iliyopita ukikutana nae leo sio ajabu ukamkuta ana tabia zingine tano mpya na ameziacha tabia kumi za zamani unazozijua...
  20. Askarimaji

    Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

    Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana, ipende dini yako na ifuate, wapende wamama watu wazima na wababa, wapende mabibi na mababu...
Back
Top Bottom