Search results

  1. Rev. Kishoka

    MwijakuGate

    Let me be the devil’s advocate here and provoke even a bigger debate hapa and elsewhere ! There are couple of things that we need to look at this MwijakuGate. 1. We are troubled with his unorthodox approach simply because we were hopping to see a more organized and formal way to market...
  2. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU! Uthubutu, ni uwezo wa kufanya mambo bila kuwa na kigugumizi au kujishuku. Ni kufanya mambo, kusimamia...
  3. Rev. Kishoka

    Uthubutu wa Rais Magufuli...

    Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU! Uthubutu, ni uwezo wa kufanya mambo bila kuwa na kigugumizi au kujishuku. Ni kufanya mambo, kusimamia...
  4. Rev. Kishoka

    Fuzzy Mathau Bad Audit: CAG Report

    Najiuliza ni kiasi gani Spika na maamuzi ya kumsulubu CAG kwa wiki mbili na kulifanya jambo la kujaza kurasa za magazeti kuongelea kauli ya CAG na matumizi ya neno dhaifu..... na sasa ripoti inaonyesha uozo uliokithiri na kukubuhu... Wananchi wanapokeaje hii ripoti ya CAG ambaye waliambiwa ni...
  5. Rev. Kishoka

    Tatizo si kukosa sheria, Tatizo letu ni udhaifu na kukosekana uwajibikaji kusimamia sheria na kanuni!

    Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni umaikini, umadhubuti, uwajibikaji wa usimamizi wa kanuni, sheria hata katiba! Si kweli kuwa sheria nyingi ni dhaifu, butu au hakuna "makali" ya kisheria au hata kikatiba. Tatizo letu ni lile lile usimamizi mzuri wa kanuni, sheria na katiba kwa...
  6. Rev. Kishoka

    Madhaifu na maradhi ya Ujinga, Umasikini, Unyonge, na Utegemezi wetu!

    Najiuliza.. Leo mwanasiasa anakuja jimboni na kusema nitawaletea pikipiki, nitanunua lori, na wananchi tunashangilia na kumpa kura zetu kwa kuwa kaahidi kutuletea pikipiki na lori. Leo chama kinasema tutamenunua ndege na kujenga daraja, nasi twashangilia kwa nguvu na kutoa dhamana ya kura zetu...
  7. Rev. Kishoka

    Does Tanzania have a Job Creation Policy?

    Nimetoka kusikiliza Symposium ya Baraza la Wachumi Tanzania na Benno Ndulu nikajiuliza swali hili dakika ya nne baada ya kumsikiliza Benno. Je Tanzania kuna sera ya Job Creation ambayo ni Dynamic? Maana HapaKaziTu si sera ya ajira au kuwa na malengo ya kuzalisha ajira, Tanzania ya viwanda si...
  8. Rev. Kishoka

    Thank God for giving us Magufuli aka Jiwe aka Chuma!

    Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi. Nasema ni shukrani maana katufungulia...
  9. Rev. Kishoka

    The Deceptive Manipulation of "Delilah"

    Nalazimika kurudi nyuma kuanzia mwezi May mpaka August ya 2015, wakati wa mchakato wa kutafuta wagombea Urais kwa vyama vya siasa, hususan Chama "Tawala" Chama cha Mapinduzi. Nikitafakari hali ya leo hii, giza tororo la ukimya wa sauti zenye kujenga mantiki, kutetea Amani, Utulivu na...
  10. Rev. Kishoka

    Forensically speaking: Risasi kupigwa juu!

    I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and blows...
  11. Rev. Kishoka

    Forensically...Curious...

    I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and...
  12. Rev. Kishoka

    Ujamaa- Elimu ya Kujitegemea: Ni wapi tulipotea?

    Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisoma Kitabu cha Ujamaa cha Julius Nyerere, na ni mengi ninajifunza tena na kubaini kuwa Mwalimu aliandika vision ya kutujenga kama Taifa hata kabla ya Azimio la Arusha. Ni rahisi sana kwa wasiopenda kusoma na kutafakari kuamini kuwa Ujamaa(mfumo wa wzalishaji) ndio...
  13. Rev. Kishoka

    Dhana na Miongozo ya "Katika Utawala Wangu..."

    Guys... Who is legal advisor wa Rais Magufuli? Au advisor wa namna yeyote ile? Hii ziara ya Pwani yametokea matamko ya Rais ya kusema "katika utawala wangu" but kwangu naona hakuna jitihada kuweka mfumo, kanuni Na Sheria Imara zinazoeleweka ili uwajibikaji uwe ni kitu Na tunu ya kawaida si...
  14. Rev. Kishoka

    "Katika Utawala Wangu..."

    Guys... Who is legal advisor wa Rais Magufuli? Au advisor wa namna yeyote ile? Hii ziara ya Pwani yametokea matamko ya Rais ya kusema "katika utawala wangu" but kwangu naona hakuna jitihada kuweka mfumo, kanuni Na Sheria Imara zinazoeleweka ili uwajibikaji uwe ni kitu Na tunu ya kawaida si...
  15. Rev. Kishoka

    Uzalendo wa “Itikadi” Binafsi kutumia Mgongo wa Maslahi ya Jumla ya Taifa

    Kuna kitu kimoja kimeendelea kwa muda mrefu sasa na si ajabu tangu tupate Uhuru wetu nacho chaendana sambamba na jinsi Chama Tawala (TANU/ASP mpaka sasa CCM) ambapo kuna nguvu kubwa sana za muonekano wa kutetea na kulinda maslahi ya Taifa lakini kila mwaka na kila awamu mpya, udhahiri wa Maisha...
  16. Rev. Kishoka

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Bomoa Bomoa ya makazi, nyumba, majengo na mali Morogoro Road Kuanzia Ubungo mpaka Kiluvia. Leo mbunge wa Kibamba John Mnyika alikuwa na mkutano na wananchi wa jimbo lake kuhusiana na barua zilizosambazwa hivi siku 10 zilizopita kwa wakazi wa maeneo kutoka Kimara Mjini mpaka Kiluvia na TanRoads...
  17. Rev. Kishoka

    Postmortem: HapaKaziTu na Utumbuaji!

    Ni miezi 15 tangu awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli na kaulimbiu za HapaKaziTu na Utumbuaji zilipoingia madarakani na kuongoza Taifa. Pamoja na shauku kubwa ya wananchi na Taifa zima kuona kasi yenye umakini na hasa suala la HapaKaziTu na Utumbuaji, uhalisia unaoonekana ni kukwama kwa unyoofu...
  18. Rev. Kishoka

    Postmortem: HapaKaziTu na Utumbuaji!

    Ni miezi 15 tangu awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli na kaulimbiu za HapaKaziTu na Utumbuaji zilipoingia madarakani na kuongoza Taifa. Pamoja na shauku kubwa ya wananchi na Taifa zima kuona kasi yenye umakini na hasa suala la HapaKaziTu na Utumbuaji, uhalisia unaoonekana ni kukwama kwa...
  19. Rev. Kishoka

    Autopsy ya Uchaguzi Mkuu 2015

    Haihitajiki kusubiri Jumatatu ya October 26 kuanza kutafakari Uchaguzi wa 2015. Matokeo ya uchaguzi kwa sisi wengine si kigezo sana tena cha kuona ni upande gani wa njia panda tunachukua kama Taifa katika safari yetu. Msisimko ulikuwa mkubwa sana, lakini je nia na dhamiri ya msisimko ni...
  20. Rev. Kishoka

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha "kiulinzi" kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari mmapya zaidi ya 700 leo na yanasambazwa nchi...
Back
Top Bottom