Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.
Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo
Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu?
Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
Za asubuhi wakuu,
Kuna NGO nyingine unaweza kudhania kuwa ziko serious kumbe sivyo. Niliomba kazi kwa shirika moja lenye makao yake Australia. Wakanichagua kwenye shortlist, baada ya wiki moja...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.