Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
3 Reactions
10 Replies
46 Views
FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
1 Reactions
3 Replies
73 Views
Habari, Nauza simu samsung gakaxy A21s. RAM :4GB Storage: 64GB Battery: 5000mAh Location: Dar Bei: 200k Tzs Iko vizuri unakaribishwa kuja kuikagua for your convinience. 0759007696 (call/WhatsApp)
0 Reactions
0 Replies
1 Views
INAUZWA Nauza projector
Nauza pocket projector. Ni complete set. Bei : 200,000 tsh. Location: Dar es salaam,ilala. Contact: 0756523615
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Naiombea klabu yangu ya yanga ushindi kesho
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu
2 Reactions
16 Replies
102 Views
Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald...
4 Reactions
29 Replies
876 Views
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
3 Reactions
99 Replies
2K Views
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
1 Reactions
21 Replies
395 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
2 Reactions
53 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,180
Posts
49,767,450
Back
Top Bottom