My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Za asubuhi wakuu,
Kuna NGO nyingine unaweza kudhania kuwa ziko serious kumbe sivyo. Niliomba kazi kwa shirika moja lenye makao yake Australia. Wakanichagua kwenye shortlist, baada ya wiki moja...
https://www.instagram.com/2cool2bl0g/reel/C7mZyhrsCzk/
Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe ametunukiwa PhD ya heshima na Chuo cha Lehman kilichopo nchini Marekani. Fat Joe ameshukuru sana kwa kupewa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Habari za jioni!
Moja kwa moja kwenye topic.Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka.Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi...
Pale Ubungo flyover kuna wababa na wamama watu wazima wanachezesha mchezo wa pata-potea. Wanawashawishi wapita njia, wageni na watoto wasiojua huo mchezo na kuwaibia.
Hii imekua kero sana, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.