Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu
2 Reactions
19 Replies
102 Views
Nini kilitokea kwenye hii mechi mka wakajikuta kwenye hali hii??? Ni ya mwaka gani??? . Mwenye maelezo atuletee tafadhali. Nawasilisha.
1 Reactions
6 Replies
20 Views
Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa...
7 Reactions
113 Replies
1K Views
MHE. ZAINABU KATIMBA: MKANDARASI CRJE EAST AFRICA LTD KAMILISHA UJENZI WA BARABARA KWA WAKATI NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Athman...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
3 Reactions
11 Replies
46 Views
Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi...
2 Reactions
42 Replies
706 Views
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar. --- APSEZ...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
1 Reactions
3 Replies
73 Views
Habari, Nauza simu samsung galaxy A21s. RAM :4GB Storage: 64GB Battery: 5000mAh Location: Dar Bei: 200k Tzs Iko vizuri unakaribishwa kuja kuikagua for your convinience. 0759007696 (call/WhatsApp)
0 Reactions
0 Replies
1 Views
INAUZWA Nauza projector
Nauza pocket projector. Ni complete set. Bei : 200,000 tsh. Location: Dar es salaam,ilala. Contact: 0756523615
0 Reactions
1 Replies
29 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,180
Posts
49,767,450
Back
Top Bottom