Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.
Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi...
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye ni mtu Muungwana na mfuatiliaji sana wa majukumu
Nchimbi amesema mwaka 2005 akiwa DC Bunda tena kijana wa miaka 31 alienda...
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa
“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha...
Karibu kufatilia muendelezo wa wiki ya pili ya Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) jijini Arusha.
Kwa ambao...
Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.