Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe (RIP) 3: JI -Kidato kimoja...
5 Reactions
49 Replies
587 Views
Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
12 Reactions
58 Replies
1K Views
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority. ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo...
6 Reactions
23 Replies
386 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema. Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa...
28 Reactions
652 Replies
39K Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
7 Reactions
120 Replies
4K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
12 Reactions
92 Replies
1K Views
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
11 Reactions
172 Replies
11K Views
#AMKA_NA_HII Tambua kuwa ndege wengi tunao waona huenda baadhi yao sio ndege halisi. Angalia pichani haya ni mambo ya Artificial Intelligence. Ndege yupo kazini.Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
1 Reactions
3 Replies
59 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,389
Posts
49,773,656
Back
Top Bottom