Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanakumbi. BREAKING: 🇺🇸🇮🇱 Biden: "Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya." Ramani ya njia ya usitishaji...
1 Reactions
38 Replies
643 Views
Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia. Sasa kwa...
25 Reactions
76 Replies
3K Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini. Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
6 Reactions
30 Replies
153 Views
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo? Je tukisema...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Karibu uwezeshwe na huduma ya SME Kutoka Airtel kwa Tshs 5000 na hii ni baada ya kazi. Na inabidi uwe na laini ya Airtel ambayo haijawahi kuwezeshwa na hii huduma lakini pia isiwe na huduma ya...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
15 Reactions
384 Replies
4K Views
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
2 Reactions
9 Replies
10 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,213
Posts
49,768,404
Back
Top Bottom