Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini.
Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato...
Wasalamu wakuu.
Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania.
Maneno aliyozungumza kupitia...
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media.
Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.