Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
3 Reactions
28 Replies
123 Views
. 1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
0 Reactions
20 Replies
333 Views
Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto mfano kwa...
15 Reactions
103 Replies
1K Views
Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
9 Reactions
85 Replies
3K Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
2 Reactions
13 Replies
55 Views
16 May 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mashujaa wetu wanazeeka! 😢 Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?
6 Reactions
52 Replies
959 Views
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima...
15 Reactions
94 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,557
Posts
49,634,698
Back
Top Bottom