Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 17, 2024 ambapo imeeleza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
15 Reactions
76 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
3 Reactions
16 Replies
171 Views
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto mfano kwa...
16 Reactions
109 Replies
1K Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
4 Reactions
35 Replies
211 Views
⁣[emoji33]NIGHT VISION DRIVING GLASSES⠀⠀ ⠀⠀ Furahia Kuona Vizuri [emoji736] Itakukinga Na Taa zote Kali Za Full⠀⠀ [emoji736] Itakukinga Na Taa Kali za Barabarani⠀⠀ [emoji736] Itakukinga na Ukungu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Bw David Kafulila kupitia kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na runinga ya ITV ameeleza kuwa, Mwekezaji aliyewekeza kwa Ubia na Serikali ya Paul Kagame ya Rwanda kwa...
1 Reactions
13 Replies
69 Views
Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
12 Reactions
71 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,562
Posts
49,634,808
Back
Top Bottom