Ndoa ni mkataba wa hiari, ndoa ya lazima sio ndoa, hata sheria haiitambui. hata ukifunga kama kuna ushahidi kwamba ulilazimishwa, haitatambulika kisheria kama ni ndoa.
shida ninayoipata, ni kwamba palepale Rafah hamas walikuwa wanarusha rocket kutokea katikati ya raia kwenda tel aviv na zilipiga tel a viv. na wanafanya hivyo makusudi ili israel ipige palipotoka rocket watu wafe na dunia iwalaumu waisrael, ni kama wanasacrifice watu wao ili wapate huruma ya...
hao majaji wengine hata hawaogopi, wapo wengine walikuwa kwenye taasisi walikuwa wanalipwa karibia 10m, marupurupu rundo, wamepewa ujaji wanalipwa kama nusu ya hiyo hela na marupurupu kidogo, wengi wanatamani hata kuacha. ila ndo hawana pa kwenda. wengine wanaamua wapige rushwa tu.
halmashauri waliwakilishwa na "wakili mkuu", halmashauri hawakuwa na wajibu wowote kufanya, ila wakili mkuu. wakili mkuu na halmashauri ni ofisi mbili tofauti.
hujakosea, mimi nina uelewa sawa na huyo mwanasheria wa halmashauri, ila wewe ubongo wako kama wa bashite. hao mawakili wa serikali waliosimamia hiyo kesi waliokuwa na wajibu kupeleka hiyo notice, hawatoki halmashauri, wanatoka kwa WAKILI MKUU, na ndicho alichokisema wakili wa TLS huyo. sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.