NIsikudanganye uzi wako mzuri sana ungetulia na kuwa seriois ipo list ungeweka ungesaidia chama cha ccm na ungekumbukwa sana uzi wako .ila unatuuliza ni mkoa gani unafaa kwa utalii nchini tqnzania afu namba 1 unaweka bujumbura.unategemea tuumize kichwa tena ???
Pia james delicious kuna wengi wanamuamini hata kama mm simpendi
Kama kigezo ni kupendwa si tuwape urais mitume na manabii feki wanapendwa sana na wajinga
Sasa makonda mwenye hajui kaua sana .mnafiki .chawa .mdhalilishaji watumishi.tuhuma za ubwabwa (ushoga).barua ya marekani ya kudhulumu uhai wa watu.kuhusika kumshambulia lissu na kuomba msamaha.kukandamiza wapinzani .kumteka moo.
Ukimuweka kwenye list tunatoa userious na kujua una3gemea upande...
Sasa kaka kama marekan tu walimtuhumu kwa kuua na wamempiga burn maisha ,unategemea alioua huku mtaani wasimuweinde,yaan kabisa sabayo ambaye amelawiti wanaume na kuwaumiza ,mmoja ninamjua alimpiga na kitako cha bunduki pale kokoliko je ungekuwa ww ungeacha kumuwinda?? Hawa wasiingize serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.