Nimekuelewa vizuri, rangi zikionekana nikiashiria tosha sasa kiongozi.......
SWALI. Kama huwezi kuona kabisa rangi itakuwaje maana mpaka uwe na macho ya kuona rangi ndiyo utafaulu huu mtihani wa kujua hatima ya maisha yako.
(Ulicho eleza wewe ni namna ya kutambua kiganja chako, lakini sio...
Ndiyo mkuu eneo likiwa linatambulika na serikali ya mtaa mauziano yanaweza kuafikiwa na kushuhudiwa na watu kadhaa na kufahamika kama eneo liliuzwa kwa makubaliano ya mkataba.....bado inakubalika ni sawa.
Pamoja chifu hizi hapa aina za haki miliki.
1. Hati miliki (title deed): hapa eneo limepimwa kabisa.
2. Barua ya Ofa: document ya kusubiri hati miliki. Eneo wanaita lina ofa.
3.Leseni ya makazi...hutolewa na wizara ya ardhi na maeneo hurasimishwa yawe na makazi.
4. Eneo kutambulika na...
Angesema haki miliki sio hati, kwamba umiliki wa eneo unatambulika na serikali ya mtaa na maeneo yote yanayo zunguka yanatambulika vilevile....ila nimemuelewa
Okay me napenda kuvaaa
Ngoja ni pinpoint kitu.....
Kote upo sawa kabisa.
ila mimi kwenye Jeans zenye mikato huwa unyama ni mwingi ila overday sivai crazy.
Occassionally kuvaa crazy sio mbaya kwa overnight occassions kama club and the likes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.