Recent content by Seth saint

  1. Seth saint

    Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Hayupo kiongozi kwa nani alisema yupo?kumbuka unaelezwa hivi ..your ways aren't my ways.. says the Lord Kila jambo hutokea kwa sababu kuwa na subra utajua.Atakama ni nature lazima kuna kitu kama cause-effect relationship.So kabla ya kupata majibu sahihi jiulize nini chanzo cha haya yote...
  2. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Umesoma vizuri lakini? Nimesema kwenye scene kunaonekana ukungu,kuhusu nini kipo nyuma ya hii issue report zote zinasema bad weather Fine,nambie wewe najua ubongo wako umepata kitu kutokana hili tukio nambie nini chanzo cha hii ajali(Don't ask about other two helicopters,I made it clear man. I...
  3. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Hakuna hisia nimeeleza always nakueleza ambacho tayari kiko reported shida ni nyie mnao tunga story.Wewe hizo habari za Israel kuhusika kakwambia nani? Kwamba kusema ni bad weather ni hisia.Nenda Aljazeera.com utapata taarifa kibao kuhusu hii habari
  4. Seth saint

    Usimuulize nikufanyie nini ili uridhike, utaumbuka. Piga mzigo uwezavyo

    Dah makambako nako kuna half London kuna half London nilikutana nayo Kakola-Kahama
  5. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Too late man nimejibu hili swali muda sasa umepita. Unachosema kinaweza kuwa sawa lakini huna hoja za kutetea ndio maana kila kitu inabaki watu kueleza hisia tu
  6. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Man am christian.Lakini hainifanyi niwe na negative attitude na Arabs(ambao most of them believe in Islam) Kuwa member wa christianity sio kwamba sitambui Islam kama religion.Islam ina miongozo iliyotoka kwa mwenyezi Mungu(Allah in Islam) ambayo kapewa mwanadamu(bila kujali ni christian au...
  7. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Man siko Iran,mwenyewe nasoma habari kwenye media tu(Aljazeera is the source of information am relying on) Kuhusu kupokea kifo kila mtu na mtazamo wake(kuna wanao furahi,wenye huzuni,ambao ni neutral kama mimi maana huyo kiongozi mwenyewe sijawahi kutana naye so why niwe na chuki juu yake)...
  8. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Man kuna story nyingi zinatengenezwa humu na sehemu kibao ambazo ni ngumu mtu kuja na conclusion kwamba ni ujasusi au ni Israel au ni ajali tu kama zingine Hiko hivi katika Logic(reasoning),hili huweze kuchora hitimisho lako ambalo litasimama kama ukweli lazima tuone premises kibao ambazo ndio...
  9. Seth saint

    Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Sawa kiongozi nimekupata sema nimeuliza swali la kizushi kuhusu safari yake nyingine ni wapi tena hili akarejeshe mahusiano yetu na mataifa mengine.Maana muda sasa toka safari ya France sijasikia safari tena. #Mama yupo kazini #Mama anafungua nchi #Kazi iendelee HOVYO KABISA!
  10. Seth saint

    Israeli SI taifa teule TENA. (Fact)

    Sasa ushoga na Mungu na kusupport Israel mbona hakuna connection kiongozi. Aya,Zanzibar kuna mapapai kibao ambao sehemu kubwa ni waumini wa dini ile ya mtume(kwahiyo tuseme pia naye Mungu wao anafavor upimbi sio?).Hii sio nzuri unaweza kuweka hoja zako bila kuwa hivi na ukaeleweka. Mapapai...
  11. Seth saint

    Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Mpango wa Elimu bure ni kazi ya Samia sio au anaendeleza mtangulizi wake alipofikia tamati? Eti Samia ni mpango wa Mungu(yeah ni kweli,sasa rais yupi alikuwa mpango wa shetani?). Anyway,kila la kheri katika kupigania ugali wako.Vipi lakini safari yake nyingine itakuwa nchi gani tena mkurugenzi
  12. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Safari ya rais sio kama safari za baba yako akiwa anaendesha baiskeli kwamba akijisikia anashuka kwenye mpando.Some formality has to be in place.Acha utoto siku nyingine
  13. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Unaona ambavyo akili yako inashida.Yani mimi napanga safari za rais wa Iran sio na wapi apite sio? Hii ungeuliza rubani wake ningekuona una akili nyingi.Then,hizo kwanini mbona nyingi.Nilikufundisha hivi shule kupangilia hoja zako sio?sawa asante kwa kunifanya mwalimu wako nipate aibu
  14. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Man sikua eneo la tukio sasa unataka nifanye nini hapa nieleze hisia zangu kama wengine au vipi. Hoja yangu ya msingi ni kwamba wanaosema ni ujasusi au ni Israel kahusika waeleze hapa vizuri. Wewe hapa una hoja nyepesi ambayo haiwezi kutoa hitimisho lolote.Yes,helicopter mbili ziliweza kupita...
  15. Seth saint

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Isreal ambayo ni agano la Mungu sio hii ya Benjamini Netanyahu(Hawa ni wahuni tu wanaotumia neno Israel kufanya uswahili wao) Israel yenye agano na Mungu ni watoto wa Yakobo(12) unajua wapo sehemu gani mpaka sasa?.Hii Israel ya sasa ni political than religious(Hii imekuwa formed 1947 wakati...
Back
Top Bottom