Too late. Mlijifanya watu wa Fujo Mkashindwa kutumia Uhuru wa kuabudu vizuri Sasa mnasaidiwa na Serikali kusimamia Dini yenu
Sasa hivi Serikali imewekeza huko mnafanya kazi Kwa ubia na Serikali. Kaeni mtulie maisha yaendelee
Ok. Nimekuelewa Sana Mtoto wangu alikuwa kila ikifikia saa nane usiku anakohoa hadi anatapika kila alichokula Ndio atapata usingizi. Mchana haumwi chochote
Hospital Hakuna majibu. Ikawa namuambia Mungu shida Ni nini huyu mtoto Roho yangu inaniuma Sana usiku mtoto anateseka
Jambo likachukua Muda...
Mbowe ashakubaliana n Mama Siasa za kuchukua dollars aachane nazo. Sasa hao Mabwana wengine wako kazini Serious
Hapo kuna Namna inakuwa shida kuwapooza
Assalamu alleikum,
Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's
Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.