Unajua kwa nini Makonda hawawezi kumtoa? Wasukuma wanahofiwa kuichukia CCM wakimutumbua Makonda! Pia watu wanaliompenda JPM wengi wanamuunga mkono Makonda!
Kwa hiyo tuseme umeshinda! Kwa ujinga wako unaamini Magari imetengeneza CCM au serkali?
Punguza ujinga na chuki utaishi vizuri!
Unayemchukia kakuzidi maisha wewe na ukoo wako!
Makonda hakupwaya ni kikundi kama nyinyi wenye chuki nae!
Samia kama asingefaa angemwondoa kabisa kwenye serkali yake!
Makonda mwenyewe anasema hayuko hapo kulialia na kulinda Cheo!
Miaka yote Minne alikuwa nje ya system na Samia ndo alienda kumchukua tena!
Kama anawakera mtajua wenyewe yeye...
Makonda hajawahi kutumbuliwa tokea akiwa kiongozi mkuu wa wilaya ya Kinondoni mpaka mkuu wa Mkoa alipoamua kuacha na kwenda kugombea Ubunge! Acha kujifariji!
Sasa kupafahamu kwao ndo ujinga gani?
Hata kama familia yao ni masikini wewe inakuhusu nini?
Mwache ale maisha maana Makonda anayo hela ya kutosha na mke wake ni mfanya biashara!
Acha kufatilia maisha ya watu!
Ujinga ulio nao unajua mwanamke mzuri ni kwa muonekano tu! Kwanza wewe Mme kasema mke wake mzuri kwa nje na ndani!
Achana nae unapenda uongo sana mara nyumba mara maneno kibao!
Huoni mwanamke ni mzuri ndo maana kasababisha Makonda awajengee nyumba wazazi wake!
Wanawake nyie malaya malaya mme...
Wewe usiyeelewa Mama alilazimishwa kumtoa Makonda haikuwa matakwa yake! Uwe unaelewa na Makonda hawezi kutolewa Ukuu wa Mkoa kwa shutma za kitoto kama hizo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.