Ni heri ununue hata Premio yako kama una uchumi wa kawaida, mafundi kibao hata wa elf 20 utamkuta, spare hata ya el 50 utaikuta mpaka vijijini,
Jichanganye kwenye hayo ma range sasa, mafundi ni wachache sana utapigwa gharama za ufundi hata milioni 2 na huna pengine pa kukimbilia, spare inaweza...
Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza.
kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
Rais wa Nigeria alipomaliza muhula wake, nyumba yake ilipigwa msako
Takribani Dola milioni 43, shilingi za kitanzania zaidi ya Bilioni 100 ndani ya nyumba moja tu,
https://www.youtube.com/watch?v=L87ma3kKQgc
Tena kwa hizi simu za kisasa zinahitaji GB zisizo na mawazo maana kwa wenzetu huko zinakotengenezwa wao intenet zao hazinaga kikomo cha GB, shida inakuja kwetu, simu kali ila internet unapimiwa.
Oh , ok wacha nikueleweshe
Ni kwamba unaponunua kitu mfano kilo 1 ya unga unategemea iwe kilo moja, ukishanunua hio kilo ukienda nyumbani kuipima kwenye mzani ukiona zimepungua kilo 0.003 sio mbaya ila tu utakuwa na maswali kichwani na shauku ya kupata majibu kwanini isiwe kilo 1 kamili. huenda...
Mtandao : TIGO
Bando / Kifurushi – Tigo Post-Paid 80 GB / Elf 60 Kila mwezi. (mawasiliano natumia mtandao mwengine kwasababu naitumia namba hio tangu 2006, naunga bando la elf 10 mitandao yote )
Kifaa nachotumia ni Router ya Tigo
Nipo Dsm, Mbezi Louis
Nimeanza kuhesabu from scratch (0 KB)...
Halafu hainaga ujanja wowote hio salamu.
Wanaitana "Nigger" hao jamaa, hili ni Jina waliitwa utumwani lakini wao wanalisifia ila hawataki mtu asie mweusi kulitumia, ujinga wa kiwango cha lami
ukiingia Youtube sikuhizi kuna wamarekani weusi wana ajenda yao ya go back to Africa, yaani kurudi Afrika, wanakuja nchi za Afrika ikiwemo Tanzania lakini wanafeli maisha wakifika huku, kinachofuata huwa ni kuandaa video za malalamiko kwamba tunawabagua, maisha magumu, n.k.
Mimi kwa mtazamo...
Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu)
wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.
Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.
Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.
Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.