Kwahiyo kama hajui kiswahili basi ndio iwe fimbo ya kumdhalilisha? Mikoani wengi wameathiriwa na lugha zao za awali (kikabila) hiki sio kigezo cha kumjibisha mtu vibaya
Naona hata na wewe umeona kosa lake mpaka unatafuta namna ya kuliweka sawa, haikuwa kitu personal hivyo alitakiwa kubaki kwenye mstari huo...sio kuanza kuingiza vitu ambavyo havihusiki na vinashusha utu wake
Hakutakiwa kuingiza mambo mambo binfasi wakati anamuelekaza, kumwabia haoingei na mchumba wake, sijui hayupo kwenye kitchen party, mara yeye ana mke mzuri nyumbani.... hapo tayari ame insinuate kuwa huyu manakamati anamtaka na anamtongoza na sio ku address alichoulizwa, kwenye kitchen party kuna...
Aisee, huko kichwani una kitu kweli? Kwakuwa wengi wanafanya basi linafanya jambo hilo kuwa sahihi/halali? Kiongozi/bosi wake anatakiwa kuwasiliana hivyo na mtu wa chini yake tena worse publicly?
Unahitaji kujielimisha na kuelimisha wote kukomesha vitendo hivi sio tu kwa wanawake bali hata...
Kama ni hivi ina maana wadau (asilimia kubwa) ni CCM B, hakuna tena kutetea maslahi ya umma, bali kile kitakachowafurahisha watawala na kufanya mambo yao yaende?!
Kwahiyo unasema anayewekwa kwenye bango anakuwa anaabudiwa, jambo linalopeleka na kuashiria yeyey ndio yupo juu kwenye tukio hilo na wengie wapo hapo kumtukuza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.