Recent content by Ncha Kali

  1. Ncha Kali

    Hivi Karia lini anamaliza Mhula wake wa Uongozi?

    Pale TFF kuna pesa nyingi mno ukiingia, muulize Jamani Mainzi.😋
  2. Ncha Kali

    Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Tutafute hela kwa kweli.
  3. Ncha Kali

    Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

    Kuna mademu huku mtaani wameliwa kuliko huyo na wala sio stori, nyie huko Dar kila kitu ni habari maafaka zenu.
  4. Ncha Kali

    Serikali kujenga daraja la Pili Kigamboni (Magogoni-Kivukoni)

    Another white elephant project.
  5. Ncha Kali

    Kuku wangu 1 anataga mayai 3-4 ndani ya masaa24!

    Kwa vile ni kuku anapongezwa, angekuwa binadamu angekemewa apange uzazi..... ni kama vile jogoo anavyosifiwa akipanda kila jike kila wakati.
  6. Ncha Kali

    Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

    Kila Waziri kuwasilisha makadirio yake, wewe unamsemea huyo wa ujenzi?
  7. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Kumbe kilitakiwa kujificha?
  8. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Kuna pisi nilikuwa naimendea, ikaingia pale nikainyemelea.
  9. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Ukisikia virusi kinachokujia kichwani cha kwanza ni vile vijidudu, japo siku hizi kuna hivi hepatitis vinashika kasi.
  10. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Ni sehemu ya hospitali zinazotoa huduma kwa wenye maambukizi, hasa ya virusi.
  11. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Hapa sijalenga wanaume tu, pitia pitia mitaa ile mara moja moja mkuu.
  12. Ncha Kali

    Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Ndiye siye, siye ndiye! Ukiwa na ratiba ya kutembelea maeneo haya kuna namna itakukumbusha jinsi ya kuishi, sio kwa maana ya unyanyapaa bali kujilinda na kuwalinda wengine. Pamoja na elimu utakayoweza kuipata ukiamua kuuliza wahusika, pia itakusaidia kurejea kazi ya macho yako. Huku utaweza...
Back
Top Bottom