Sijawahi kuona mwanamke wa maana mwenye jina la Mwa J, wengi ni vicheche na mishipa ya aibu imekatika.
Kunyanyua dela kwenye vigodoro akabaki na chupi au tupu hawaoni shida
Jiwe sikuwahi kumkubali hata siku moja
Ila kwenye mradi wa bwawa la Nyerere mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Ni hilo pekee alilofanya la maana kwenye kipindi chote cha uraisi wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.