Recent content by MRSH

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Possible za leo hizi hapa.Mpango wa kujiongeza tu..
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baada ya kupigwa Sana,Jana ilibidi nifuate app ya betting tip.Nimepata ya kupozea machungu kidogo
  3. M

    Figisufigisu za TFF chini ya Malinzi na kuweka wahaya kila sehem malipo yao nikuakikisha Kagera auge

    Hili nalo neno.Nashukuru umenifumbua macho.Timu yenyewe leo imechezea kichapo kama kawa.
  4. M

    Cheka adundwa na Mashali

    Au jamaa hakuwa fiti baada ya kutoka jela ndo msela kapata chance.😁
  5. M

    Cheka adundwa na Mashali

    Hahahaaaa.RItz ameshakanusha tuhuma zote anasema hana Lori wala basi.Watu wamepanga kumchafua.
  6. M

    Zijue haki zako unapokua mikononi mwa polisi

    Hivi hawa Askari wetu wanazifahamu hizi rule?Maana mi najua ya kwamba hawa jamaa wakikukamata huwa wanakwambia kosa utaenda kujulia kituoni.Kataa sasa uone mtiti wake.
  7. M

    Cheka adundwa na Mashali

    Sina uhakika kama Serikali inafuatilia kodi katika mchezo huu.Ni kama wanauona sio mchezo rasmi.
  8. M

    Cheka adundwa na Mashali

    Ila Mashali naye ni mbishi.Alitembezewa kisago last time hadi network ilipotea.Mwanzo nzuri sana.
  9. M

    Cheka adundwa na Mashali

    Bondia maarufu nchini Thomas Mashali amefanikiwa kumpiga kwa pointi bondia mgumu nchini Francis Cheka kwenye pambano la raundi 10 lililopigwa usiku wa Christmas (December 25, 2015) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Pambano hilo la uzito wa Kg 77 ambalo lilikuwa si la ubingwa...
  10. M

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Isije kuwa ni njia ya kusafisha hela tu kwa mgongo wa kuchangia.
  11. M

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Huyu si ndiye anayeaminisha watu kwamba Watanzania ni Masikini na CCM ndio wameua uchumi,na anaomba kura kwan yeye anachukia umasikini!Sasa leo hao Watanzania hela za kumchangia wanatoa wapi?Mbona tunachanganyana jamani???
  12. M

    University Task Force - Wasomi wanaomuunga mkono Dr. Magufuli

    Jamani WaTz hatutaki mabadiliko sisi tunataka Maendeleo bila kujali yataletwa na nan.
Back
Top Bottom