Basi unakosea unaweza kuijua dini kwa kuisomea au kusoma kwa asilimia 40 tu . Asilimia 60 nilazima uiamini uabudu na kufuata ya kitabu ukifikia kiwango cha juu cha imani utajua mengi na kudhibitisha ukweli wa yaliyoandikwa. Wewe sio mjuaji wa kwanza walikuwepo wengi kabla yako. Ukiwaona...
Mwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.