kuna watu wanafikisha hadi miaka 50 ndio wanaoa vp miaka yote hiyo walikua hawapati sex 😄😄watoto wadogo(wavulana na wasichana) ndio wanafikiri sex ndio hitaji namba moja la ndoa ila wanaume wanaojitambua wanaelewa mahitaji ya msingi ya kuanzisha taasisi ya ndoa sex sio first and foremost ,kama...
😄😄Watu hawaoi kwa ajili ya sex...kuna sababu nyingi za kuanzisha taasisi ya ndoa sex ni kitu kidogo sana manake sex unaweza kuipata popote pale kwamfano ukienda bar yoyote ukiongea vizuri na baamedi unaipata😂😂
Mungu hajakuleta duniani uogope uzee😂😂.Uzee ni stage tu mojawapo ya maisha... Bakhresa ni mzee lakini ndio tajiri namba moja Tanzania. So live your life,mtegemee Mungu atafanya kwa wakati
Zipo verified accounts vilevile...kwakifupi kuna mambo ni very private sio ya kushare kwenye mitandao ni sawasawa kwamfano nikuulize "eti jana usiku umelalaje kitandani na mke/mumewako"? 🤣🤣
Wasabato adui yao mkubwa sio Shetani bali ni Wakatoliki😆😆.Sijawahi kuona Wasabato wanashambulia mafundisho ya madhehebu mengine kwamfano Lutheran,Anglican,Assemblies of God,Moravian wao kila siku ni kuwapinga Wakatoliki tu🤣🤣
😀😀Dom wanapendelewa sana kiukweli ...hii ni shule ya mfano Tanzania na East Africa yote(labda ukienda South Africa ndio unaweza kukuta level hizo) .Ujenzi wake toka "scratch" umesimamiwa na kufanywa na Jeshi. Eneo lilipojengwa(mpangilio),miundombinu,ubora na ukubwa wake ni zaidi ya Faculty ya...
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000...Dodoma ilipewa hadhi ya Jiji 2018.Maendeleo yaliyopatikana Dom kwa kipindi kichache tu ukilinganisha na Mwanza ni sawa na mbingu na Ardhi 😂😂.Mwanza wana kazi ya ziada sana kuifikia rekodi ya Dom City....wanatakiwa wapambane kwanza na hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.