Haikuwa imeandikwa aendelee na maisha zaidi ya pale, mshukuruni mungu kwa zawadi ya maisha yake japo yalikua mafupi, ila hakuja bure na wala hakuondoka bure, ajaliwe kuwa sehemu yenye furaha ya milele.
Pole sana ndugu yangu , imeniuma sana usiku huu!
Anyway maisha tumedhaminiwa tu kubwa ni kumshukuru aliyetudhamini, ajaliwe kupumzika kwa amani.
Swali lako wataalam watajibu nasi tuweze kufamu na kuchukua tahadhari.
I wish ningekuwa eliya, ningepata sabau hata huko kwa Mungu niwe na sababu ya kujitetea kwanini sikuwa naenda kanisani.
Ila kadri ya mapambazuko ya juwa ndio dini na imani za kimungu zinazidi kupotea miongoni mwa watu wengi, na sababu moja wapo kubwa ni hawa wachungaji wa mchongo!
Wala hatuwaoni malaya kama mnavyo dhani, mara nyingi tunakuwa happy kweli kuanzwa na mdada, kwenu inakuwa ni kazi ndogo sana kisha sisi ndio tunaendeleza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.