Mtumishi wa umma awe mwanaccm, asiye na chama au awe mwanachama wa upinzani anapaswa kufuata namna serikali iliyoko madarakani inataka kufuatana na ilani yake iliyowapa ushindi kwenye uchaguzi.
sasa kama mwenyewe ndiye mwenye uthubutu wa kutetea utawala wa haki. Wacha wenzake wajidai wanapigania utawala wa sheria na uhuru wa mahakama wakati kwenye uongozi kumeoza dhuluma tupu, uzembe na wizi wa umma .
Subiri wewe. Sisi tunataka kujua nini kimefanyika na kamati hilo la kutoa sauti haisikiki hatutaki. Nyinyi ndio wale wa utawala wa sheria mnataka kero zisikilizwe faraghani wakati uongozi wa haki unataka kila kitu kiwe wazi.
Watanzania tukatae jamani huu wizi wa bandari yetu. Ni uongo mtupu wanatumia. Walipoona tumejua ukweli ile concession ya dubai ilivyo haifai hata kulumangia ugali wakaja na ulaghai huu wa mkataba wa DP wakisema umezingatia maoni ya wananchi na kwamba ni kwa gati 2 tu. Sasa wametuambia ni gati...
Umezungumza jambo moja muhimu sana. Bwawa la umeme limekamilika kwa hivyo wasia wa magufuli utekelezwe. Bei ya umeme ipunguzwe kwa kiasi kikubwa ili kuvutia wawekezaji na kuwapunguzia wafanya biashara gharama ili hatimae bei zishuke za bidhaa. Waroho wenye kutaka kufaidi peke yao uwekezaji wa...
Na shule zikishajengwa kwa michango ya wote nafasi wanapewa watoto wa wachungaji na wazee wa usharika. Mfano kuna ile sekondari morogoro ilivuma kwa kufaulisha. Kilichofuata wakajaza kwa upendeleo watoto wa wachungaji na wazee wa usharika wakawa wanafeli hadi shule ikapoteza sifa.
Nakubaliana kabisa. Yaani ukiingia ibada utafikiri umeingia hall la starehe. Ibada yenyewe siku hizi utafikiri uko kwa gwajima au mwamposa. Ulaghai sana mambo ya maombezi ni kelele utafikiri mungu ni kiziwi. Halafu sadaka bahasha karibu sita. Wacha zile sadaka za dharura. Yaani waomini...
Tena ibada kkkt siku hizi utafikiri uko pentecost wala sio lutheran. Program ya ibada ya kilutheri ilioka kwenye kitabu imechomekewa maombezi na uponyaji mungu anapigiwa kelele utafikiri ni kiziwi. Naona ulaghai kama wa kina mwamposa unajipenyeza kwa kasi kwenye ulutheri.
Mungu tunusuru waomini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.