Recent content by greater than

  1. greater than

    Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

    Hata mie huwa natoa ushauri na elimu juu ya masuala ya Ujenzi bure...
  2. greater than

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Na wewe ukachezewa...
  3. greater than

    Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

    Mwenye Kuwa wa kwanza kwa % ya kula ndiyo huchagua Chama cha kuunda nacho serikali.
  4. greater than

    Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

    But EFF wana 9% ,,,so hawawezi unda nao serikali ,mana akidi ni 50%... Hapo ni DA au MK
  5. greater than

    Duniani Kote Marais Waislamu hupenda kuwarithisha Urais Watoto wao yaani hupendelea Utawala wa Kifamilia!

    ORODHA YA NCHI ZENYE WAKRISTO WENGI 1.USA - George H.W.Bush na George W .Bush , Also John Adams na John Quincy Adams ,hai ni baba na mwana. 2.TOGO-Faure Gnassingbé na Gnassingbé Eyadema 3.BOTSWANA -Seletse na Ian Khama 4.KENYA - Jomo Kenyata na Uhuru Kenyata 5.MALAWI - Peter Muthalika na...
  6. greater than

    Duniani Kote Marais Waislamu hupenda kuwarithisha Urais Watoto wao yaani hupendelea Utawala wa Kifamilia!

    Ali Hassan Mwinyi alishakuwa Rais wa Zanzibar mkuu...
  7. greater than

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Nicheki majukum yananiandama....umri nao unazidi kwenda.... By Kwahiyo hakuna kutembeleana
  8. greater than

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Nicheki majukum yananiandama....umri nao unazidi kwenda.... By Chegge
  9. greater than

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Yaani,ukilala ukiamka unakuta unasherekea Siku ya kuzaliwa
  10. greater than

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!? Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana. Ila Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
  11. greater than

    Kanuni za Ushikaji

    Hao ni mdananda na sio wana...
Back
Top Bottom