Recent content by Eng. Zezudu

  1. Eng. Zezudu

    Wanaume kwani hii mboga ya chainizi ina tatizo gani?

    Walio ushahidi wa kisayansi walete
  2. Eng. Zezudu

    Serikali imchukulie hatua Baba Levo kwa Kuwadhalilisha Walimu

    Kuna wengine hatuja Iona iyo video
  3. Eng. Zezudu

    Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

    Nenda Mbeya ite uwanja wa sokoine, ila PCM ngumu sana , vitabu vyote , kwa vitabu vyote ivyo inaweza kukutoka Million point kadhaa, Umesahau vitabu muhimu sana Roger moncaster advance A level physics, maswali yote ya necta yapo humu, na kitabu kimoja Cha hesabu umesahau ila jina kimenitoka
  4. Eng. Zezudu

    Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

    Walichofanya wazungu ni sahihi kabisa, mana wazungu walistarabika kabla yetu
  5. Eng. Zezudu

    DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

    Serikali ishughulikie Ili suala la ajira kwa watoto wadogo, mana huko ndo mabinti wababakwa na kunyanyaswa
  6. Eng. Zezudu

    Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe

    Wewe ni kijana ambae huna akili, embu jitafakari mkuu au tukuongezee akili bandia
  7. Eng. Zezudu

    Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024

    Inamana hapa TZ hatuna ma engineer wanao weza fanya iyo kazi, Hakuna kabisa hata wa kufanya maintenance kweli, Serikali inafanya Nini inaacha kuwezesha wasomi wawe wanafanya humu humu ndani ya nchi
  8. Eng. Zezudu

    Kwangu Mzee Kikwete ndiye baba wa Taifa, hao wengine mnaowasifu hawana maajabu

    Kikwete anafaa sana , ila jiwe hapana , mana ndo mharibifu wa uchumi wetu. Mana mpaka Sasa sielewi alikuwa anapeleka wapi pesa
  9. Eng. Zezudu

    Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

    Itakuwa ni mambo ya Genetics
  10. Eng. Zezudu

    Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Nitumie picha zao nami niwaone walivyo warembo, naweza tupa ndoano kwa mmoja wao
  11. Eng. Zezudu

    Pauline Gekul: Fainali CRDB Confideration Cup kuhamishwa imetusikitisha

    TFF wameogopa usije waingiza wachezaji chupa Bure.
  12. Eng. Zezudu

    Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi amteua Boss mpya ZECO

    Mbona mtu aliye teuliwa inaonekana ni ndugu tu, Wala sio mhandisi, watu wanaokotana majalalani huko na kupeana vyeo
  13. Eng. Zezudu

    Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Noti ya kizimkazi ndo inafata, watoto wa kizimkazi watakuwa wanatumia iyo noti
Back
Top Bottom