Wote hiyo hiyo sijawahi fagilia muuaji yeyote , mimi ni mkristo linapokuja swala la Israel na Iran mimi nabaki upande wa Iran na ktk ile mi 5 kwa Neta paka wa israel ili ujue naye atapita ni pigo dogo alilopigwa na muajemi huku akiwa ameambiwa lakini alialika mataifa kibao kumsaidia kwa bullions...
Yaani umejaza mavitu meengi ya kiupotoshaji eti Nkurunziza alituma kikosi rwanda duuuh siyo kweli ni vice versa kagame ndye alituma vikosi kuivamia burundi kupitia mkoa wa cankuzo baada ya burundi kuusoma mchezo walitega ambush kwakuruhusu wavamizi kuingia kirahi then wakashambuliwa kutoka nyuma...
Wee jamaa kweli shabik maandazi kagame amefanya mauaji ya kimbari DRC kwa miongo na miongo leo unamtetea , sisi tunasema kagame apigwe na mimi nimetoa mi 5 ya kifo kwake hadi utawala wake save the date
Sasa ww muisrael uishiye huko tuambie madhara gani yametokea yaani mnakuwa km watoto mnataka israel iseme ukweli kuwa imeharikiwa kiasi gani ? bila kusahau kasaidiwa na washirika wake kujirinda kwa bil.$ of dollars nyie mnafanya mchezo Israel anaugulia jamani acheni masihara na vita vya sasa...
Wew nawe utadhani una vina7 na ntnyahu mbona hujatengua kauli zako au ushafuta nyuzi zako za kusema iran haiwez kurisha hata jiwe ndani ya israel vp leo kiko wap au unasemaje
Mimi siyo muumini wala shabiki wa upande wowote ila wewe jamaa yangu kama huna nasaba na israel bora uchague timu ushabikie mpira maana unatia aibu hakika maana nimefatilia nyuzi zako nyingi ukisema Iran haiwezi kurusha jiwe kwenye mpaka wa Israel sasa karusha mamia ya makombora , kwa kitendo...
Weka majina na hao wahutu warefu kuzidi watusi ndyo nimesikia leo , ila ukweli rwand nafasi zote nyeti ni watutsi wanahodhi mfano jeshini wahutu wasio na vyeo ndyo wanapelekwa drc kusaidia m23 yaani wanaswagwa kufa huku wanaona kua wanakwenda kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.