Recent content by aise

  1. aise

    Serikali kujenga daraja la Pili Kigamboni (Magogoni-Kivukoni)

    Jangwani au Magogoni? Na kama itakuwa magogoni pale vipi kuhusu meli kupita? Au litakuwa daraja la kufunga na kufungua meli zikitaka kupita?
  2. aise

    DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Hii inshu ya mwanamke kuleta mimba za nje ndani ya ndoa inakata sana mzuka wa kuoa
  3. aise

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Sipendi mtu mwenye mamlaka kubwa kama raisi anapokuwa siti ya mbele kushadadia vitu soft soft tu! Hii nchi ina matatizo chungu nzima, yenye kuhitaji kushughulikiwa, inauma sana viongozi ambao tumewapa dhamana wanahangaika na mambo yasiyokuwa ya msingi ili apate kwenda na upepo uliopo. Sikukuu...
  4. aise

    Toleo lijalo la noti napendekeza ziwe za Nylon

    Awekwe na mwanamke Samia kama hiyo noti?
  5. aise

    Simba ndio basi tena?

    Mkuu mimi siyo shabiki wa mipira ila kuna timu ya nyumbani mashujaa naikubali, vipi mpaka hapa itashuka ligi au itabaki
  6. aise

    Hawa wanaJF wanachekesha sana kwenye post zao

    Halafu kuna akina sisi hapa, yaani mtu nina stori nzuri tu, ila jinsi ya kuiwasilisha inakuwa kituko siyo stori tena 
  7. aise

    Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

    Huu ndiyo ukomavu sasa! Hongera sana mkuu, kuwa na plani b ni kama kaumalaya hivi.
  8. aise

    Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Tanzania itaungana na Urusi ili kubalance mambo!
  9. aise

    Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

    Sina uhakika sana ila nimewahi kusikia kuwa Wajapan ni jamii moja ya watu wastaarabu sana hapa duniani
  10. aise

    Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Mechi itachezwa Zanzibar mkuu Kizimkazi, haujapata update?
  11. aise

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Sawa nasubiri mwongozo mkuu @Smart991
  12. aise

    Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

    Atalanta ni ngumu kuchomoka leo!
  13. aise

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Hii shida imetokea baada ya kufanya kazi ngumu sana, siyo kwa sababu ya umri au nyingine. nilipata kusoma sehemu kuwa kubeba mizigo kuna ukomo, (kwamba ndani ya lisaa kuna uzito fulani unapaswa kubeba, ukizidisha hapo matatizo kama hayo yanaweza kutokea. kwahiyo chanzo cha hilo tatizo...
Back
Top Bottom